Nashindwa kukusamehe nashindwa kukuacha

Unampenda kweli? Una future naye? Kama jibu ni Ndiyo, basi Forgive and Forget ila kama jibu ni No jiulize swali hili

Why did you make permenent Decision on temporary things?

Samehe samehe samehe and move forward kuna nguvu kubwa sana katika msamaha halafu mpende zaidi. Halafu ask yourself ni wapi ulikosea? Usijiulize swali hili huku ukitaka majibu yawe upande wako, bali jiulize ukitaka ukweli
 
maumivu unayo yapata sasa ni hatua za uponyaji.

I hope you'll make it and you'll be happy again
 
Kushindwa kumsamehe mtu ni kujiadhibu na kujiharibu mwili, akili na roho yako.

Msamehe, muombe mungu wako akusaidie umsamehe. Kama huwezi kumuacha ni kwa sababu bado unampenda. Muulize sababu ya kukusaliti na uifanyie kazi kiroho safi. Akirudia tena kukusaliti ujue huyo ndio alivyo. Na utabakia na alternatived 2, umuache aende zake ama umchukulie kuwa ndio cha wote ila wewe una majority shares.

dah dada kunamengi nimejifunza ndani ya huu ujumbe wako.naanza kupata nafuu.ningwiki sipati usingizi
 
katka mahusiano, Usipende sana kupitiliza coz cku ukichukia utachukia the same way kama ulivyo penda.. kama newton alivyosema "evry action has equal and oposite reaction" me nakushauri mpe nafasi.. mtu anaposaliti na akakiri na kuomba msamaha kujutia makosa yake ni kwamba hata ye anaumia. mpe nafasi.. but this time be carefull.. penda kwa step na kwa akili.. me ninauz mrefu nkipataga mda ntashare na nyinyi... ni long story.

Siku utakapoiandika nitag please
 
Hakuna kazi ngumu kama kusamehe,hasa katika mapenzi..,Yaani unisalti halafu ni kusamehe????
 
Time heals than anything....jipe muda utapona hilo jeraha....Mungu akujalie maamuzi sahihi.
 
nilianza kukutongoza miaka miwili iliyopita tukiwa collage na hatimaye ukanikubalia.tukaanza mahusiano yetu.tena kwa furaha ya ajabu. tangu niwe na wewe nilikuwa sijui uchungu wa kutendwa.tulipendana zaidi ya kawaida. nilipokukosea moyo haukutulia hadi ulipo nisamehe.nawe ulifanya hivyo hivyo. siku zilipita tukiwa wenye furaha sana sana sana...mpenzi wangu nayaandika haya nikiwa na maumivu makali sana moyoni.hata nashindwa nifanye nini. kwa nini baby unisaliti?kwa nini? ni kipi nilichokukosea?au tatizo ni mimi kuwa mbali na wewe?umenisaliti mbaya zaidi we ndo umenieleza kuwa umesaliti na unahitaji msamaha wangu eti roho inakuuma. nakupenda sana sana sana.natamani nikusamehe lakini roho inasita na natamani tuachane lakini moyo unakataa kata kata.jamani wanajf nifanye nini?mbona nahisi uchungu kiasi hiki?naombeni mawazo yenu jamani

Utazoea Tu wala Usijali...
 
Makosa yote kwa mkeo unaweza samehe as long anakupenda ila usaliti hadi umejua hapana..hlo kosa huwa halisameheki ata cku.1..
 
Kuna mwenzio huku mtaani nae juzi kaachiwa castle laga tano mezani akukuruke nazo, kumbe msamaria huyo kaenda kumgegeda mke wa jamaa, na jamaa alikua anamuamini hivyo hivyo.

FUNZO: usiwe na imani iliopitiliza kwa mwanamke, kuwa unpredictable, hawa watu hawajielewi ati.
 
Kuna mwenzio huku mtaani nae juzi kaachiwa castle laga tano mezani akukuruke nazo, kumbe msamaria huyo kaenda kumgegeda mke wa jamaa, na jamaa alikua anamuamini hivyo hivyo.

FUNZO: usiwe na imani iliopitiliza kwa mwanamke, kuwa unpredictable, hawa watu hawajielewi ati.
Hata wanaume ni hivyo hivyo tu
 
Mkuu pole asee time is the best healer jipe muda wa kutulia na upambanue na kufanya maamuzi ya kile kitakachokupa amani...mapenzi yanatesa na yanaumiza ukiyapa nafasi sana...na sijui kwa nini unaempenda na kumwamini sana ndo anakuja kukuumiza
 
Huwezi ukakomaa bila kuumia. Na kuna msemo unasema, the direction of one step, leads the direction of another step. Hivyo, hiyo ni hatua mojawapo inayokuongoza katika masuala mazima ya mahusiano.
 
Back
Top Bottom