1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,345
- 12,720
Asante Mpendwa Walimwengu endeleeni kumshauri
Asante Mpendwa Walimwengu endeleeni kumshauri
Unafaa kuwa jasusiUkweli ni kwamba ni wewe hapa umezuga ili tusikujue
Haitaji nguvu mkuu kujua kwamba ni yeye anahitaji ushauri kwa mara nyingine kwa nini ateseke hali ya kuwa Moyo wake hauhitaji kuachia jamaa aende.Unafaa kuwa jasusi
πππππUnafaa kuwa jasusi
Dada yangu ondoa shaka,nitumie namba yako ya simu inbox kuna jambo langu nataka nikushirikishe,Mimi ni ke
Itamchukua muda mrefu sana.Haitaji nguvu mkuu kujua kwamba ni yeye anahitaji ushauri kwa mara nyingine kwa nini ateseke hali ya kuwa Moyo wake hauhitaji kuachia jamaa aende.
Noted mkuuKupitia status zake, akipost kitu kizuri mpe pongezi pitia hapo kumueleza jinsi ulivyompenda ila yakatokea yaliyotokea, maisha lazima yaendelee nk itakupa nafuu ya sumbuko la moyo wako trust me, ila usirudishe mawasiliano ya karibu endapo atataka ku-take advantage ya kukiri kwako,
Mbona kama codes zinataka kusomanaBila Shaka mu wazima, naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu tumeachana huu mwezi wa tano, lakini nashindwa kabisa kufuta namba yake.
Lengo la kutofuta namba yake ni ili niwe nafuatilia status zake, but yeye hajui kama naziona, vilevile yeye pia hufuatilia zangu bila kificho.
Naomba mnisaidie nifanye nini, nimsahau huyu kiumbe, kumblock nilishajaribu lakini baada ya siku ile mbili namu unblock, lakini yeye Kila ninachoweka status lazima aview. Nahisi ameniroga maana siyo kawaida yangu hii.
Nb: Siyo mahusiano yangu ya Kwanza.
- Umri wetu tuko kwenye 29-34
Hii ni Kama tumeachana maana ,Ni mweZi was tano Sasa hatuna mawasilianoWawili nyie bado hamjaachana, mmeamua kupumzika kwa muda tu
Hii ni Kama tumeachana maana ,Ni mweZi was tano Sasa hatuna mawasiliano
Binti nakuomba usiusemee moyo pleaseSidhani , hi ni Mara ya tatu tunag
Sidhani ,maana hi ni Mara ya tatu tunagombana kwa Jambo lile lile, Ila safari hi staki kabisaa
Thatz a reality,mfano tumekosana,ila mwsho nikaona nmekukosea sanaa na kuona n bora niombe msamaha kwa nliyokukosea,ila ukakataa kunisamehe huwa naami uliekataa msamaha ndo utakuwa unateseka cku zote cz me itakuwa na amani moyonShida ni kwamba wapenzi wanapogombana na kuachana kila mmoja anaweka taswira ya uadui dhidi ya mwenzie.....unapoijenga taswira ya uadui kwenye fikra zako unafanya nafsi yako ijiweke katika katika hali ya tahadhali......kwa hiyo lazima nafsi yako impe special treatment yule unayemchukia ili kuweza kukabiliana na hatari itakayojitokeza.....na hapo ndipo zinazaliwa fikra za kudumu juu ya mtu huyo na kujiweka kwenye kifungo cha kudumu cha nafsi.........
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kumbuka na yeyehajafuta namba yangu lakini hatuongeleshani wote, Mara ya Kwanza birthday yangu ndo iliturudisha katika mahusiano, aliniwishi heri ya kuzaliwa nikamjibu na zawadi juu basi tukarudisha mawasiliano, Sasa ninaona karibia siku yangu inafika asije akatumia njia hiyo tujarudiana
Shogaaa angu vipi mbona cheko kubwaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
πππππππππππππππππππππππππππππππππππFinally nimeweza msahau wapenziii now am happy β€οΈ