Nashindwa kufanya manunuzi online.

mabwiku

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
447
389
Nimejaribu kufanya manunuzi online nakwama naitaji msaada,lkn pia je Aliepress hawachukui malipo kwa paypal?
Screenshot_20190507-202741.jpeg
 
Sababu zinaweza kuwa kati ya hizi:-
1.Pesa hazitoshi kwenye account yako ukilinganisha na bei ya bidhaa
2.Benk zingine zimeweka kiwango cha mwisho cha manunuzi ,hivo inawezekana bidha yako inagharimu pesa nyingi kuliko kiwango kilichopangwa na benki u
Yako.
 
Nafanyia kazi hili
 
Una nunua kitu cha bei gani? Na salio lako lipo kiasi gani? Ongeza mpunga huo
 
Mbona maelezo inaonekana hapo kwenye screenshot yako au Lugha kidogo inakuchacha ndugu? Angalia amount iliyopo kwenye account yako na kiasi unachotaka kulipa pia soma LIMITATIONS yawezekana wameweka kiasi cha mwisho unayoweza kuprocess kwa kila payment system.
 
Asante mkuu
 
Niliona nikashindwa kutumia ikabidi notumie card direct,waweza kunielekeza jinsi ya kutumia
Hyo card ndio inakutana na alipay automatic,Tumia mastercard ya voda haina shida nayo..sema kwa case yako hapo juu kama salio limepungua kidogo..ongeza hela kdgo kisha jarbu tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom