Nashindwa kuelewa nimebaki njia panda

Nashindwa kuelewa nimebaki njia panda

Mafweza ze don

Senior Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
148
Reaction score
182
Habari za saizi wakubwa

Naombeni msaada wenu wa mawazo mimi nina mpenzi wangu tulio kua katika mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja sasa lakini kinacho nitatiza now days binti huyo amebadilika sanaa kwani amekua mkorofi lakini wakati mwingine anarudisha mapenzii kama zamani.

Kwa wakati mwingine anakua mbogo nikaona labda kwajili tuna wasiliana kila siku na kuongea kila wakati thats why anakua kama amenichoka now nikaona niwe bize na mambo yangu.

Lakini roho inaniuma because nimesha mzoea sana akipiga simu sipokei namtext baada ya lisaa lakini roho inaniuma naona kama naibiwa japokua some times ananionesha upendo je, nifanye nini niweze kushinda vitaa hii kwasababu naumia sana napia nampenda sana?
 
Kwanza jiulize ni wakati gani anakuwa mbogo? Jitathimini mambo unayofanya hadi anakuwa mbogo uyaache, na yale yanayomfanya arejeshe mapenzi kwako uyaendeleze
 
Mkuu jitathimini kwanza wewe uone kama ni type yake. Mwaka mmoja ni mdogo sana kuweza kujiamini kuwa you are the right person for her.
 
Huyo kama anakupotezea muda na haeleweki tupa kule atakuchanganya kaza usioneshe udhaifu atakuendesha
 
Always najitahidi kumuonesha upendo lakini sijui shida ni nini nampenda sana
 
Habari za saizi wakubwa
Naombeni msaada wenu wa mawazo mimi nina mpenzi wangu tulio kua katika mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja sasa lakini kinacho nitatiza now days binti huyo amebadilika sanaa kwani amekua mkorofi lakini wakati mwingine anarudisha mapenzii kama zaman kwa wakati mwingine anakua mbogoo
Nikaona labda kwajili tuna wasiliana kila siku na kuongea kila wakati that why anakua kama amenichoka now nikaona niwe bize na mambo yangu lakini roho inaniuma because nimesha mzoea sana aki piga simu sipokei Nam text baada ya lisaa lakini roho inaniuma naona kama na ibiwa japo kua some times ananionesha upendo jee nifanye nini niweze kushinda vitaa hii kwasababu naumia sana napia nampenda sanaa

Pole sana mkuu hii hali ilishanitokea pia mwk 2011/2012 cha kufanya kama kweli unampenda na una malengo naye ukiona hayo mauza mauza na uzinguzi mwingi ni kuamua moja tu :Mpe mimba,akikataa mwache tafuta binti mwingn huyo hakupendi.bila hivyo utaumia kila siku.
 
^^
Hata yeye anakupenda ila jitazame usiwe tayari uko Plan B list
^^
 
Pole sana mkuu hii hali ilishanitokea pia mwk 2011/2012 cha kufanya kama kweli unampenda na una malengo naye ukiona hayo mauza mauza na uzinguzi mwingi ni kuamua moja tu :Mpe mimba,akikataa mwache tafuta binti mwingn huyo hakupendi.bila hivyo utaumia kila siku.
Hivi kama bint hakupendi ukimpa Mimba ndio atakupenda?
Acheni kutesa watoto wenu!!
 
ni kweli kama mdau mmoja alivyosema ni upepo tuu utatipa na ukishamsoma hautasumbuka, mimi kuna siku nina amka sitaki kuongea na mtu yeyotee na mtu akinisalimia tuu ugomvi unaanzia hapo, sasa jiulize nina mume na lazima tusalimiane asubuhi, lakini amehsnisoma na kuona huyu siku akiamka hivi ndiyo hataki kuongea na mtu, basi anafanya shughuli zake anaondoka, baadae kisirani kikiniisha namtext mwenyewe, hivyo msome mtu umuelewe, swala la kumpiga chini utapiga wangapi kila mtu na mapungufu yake
 
Mapenz yanahitaj uvumilivu jaman
Tafuta MTU wa kuendana nae kitabia..tambua madhaifu yake..anapenda nini na kipi hapendi...

Chunguza kwann anakuwa mbogo kuna sababu au hiyo ndo gia ya kuchepuka kuwa makin chunguza kabla ya kufanya uamuz wowote

Na pia mwaka mmoja sio uone yy ndo kila kitu mapenzi hayana formular
 
tetea penzi lako dogo mambo ya kususiana yalishapitwa na wakati utaumiza roho yako bureeee chamsingi jifanye mjinga mvutie kwako.SWALI,inakuaje unashindwa kusoma tabia za mpenzi wako ndan ya mwaka mmoja??
 
Jamani mie navyojua mapenz yana ups n downs...siyo kila siku mtakua nafurahaa..kuna mivurugano pia inayotokea ili kupima uvumilivu kati ya wapenzi...kwahyo inabidi ujifunze kuchukuliana na hzo situation...lasivyo utadate wengii na kuacha..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom