The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
cc The Boss
Why me?
cc The Boss
tetea penzi lako dogo mambo ya kususiana yalishapitwa na wakati utaumiza roho yako bureeee chamsingi jifanye mjinga mvutie kwako.SWALI,inakuaje unashindwa kusoma tabia za mpenzi wako ndan ya mwaka mmoja??
Kubaki njia panda sio vizuri.
Dah kaka haya mambo acha tu mwenzio hapa najifariji kidgo kdgo maana yashanikuta kama hayo afu c unajua na kisu cna shida tupu!
nipe msaada wa mawazo nipate njia sahihi
duuuuu ina pain sanaaa
Habari za saizi wakubwa
Naombeni msaada wenu wa mawazo mimi nina mpenzi wangu tulio kua katika mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja sasa lakini kinacho nitatiza now days binti huyo amebadilika sanaa kwani amekua mkorofi lakini wakati mwingine anarudisha mapenzii kama zamani.
Kwa wakati mwingine anakua mbogo nikaona labda kwajili tuna wasiliana kila siku na kuongea kila wakati thats why anakua kama amenichoka now nikaona niwe bize na mambo yangu.
Lakini roho inaniuma because nimesha mzoea sana akipiga simu sipokei namtext baada ya lisaa lakini roho inaniuma naona kama naibiwa japokua some times ananionesha upendo je, nifanye nini niweze kushinda vitaa hii kwasababu naumia sana napia nampenda sana?
Pole sana mkuu hii hali ilishanitokea pia mwk 2011/2012 cha kufanya kama kweli unampenda na una malengo naye ukiona hayo mauza mauza na uzinguzi mwingi ni kuamua moja tu :Mpe mimba,akikataa mwache tafuta binti mwingn huyo hakupendi.bila hivyo utaumia kila siku.