Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,284
- 4,334
Amin kwamba mkuuSure mkuu hili jukwaa linafunza sana lakini pia lina athari zake km hutaweza kung'amua mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Amin kwamba mkuuSure mkuu hili jukwaa linafunza sana lakini pia lina athari zake km hutaweza kung'amua mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan humu unaweza omba ushaur hata wa dawa na ukimwambia kinachouma wanakujibu kua ukimwi huo tayalKamwe usiamini kila kinachoandikwa humu kuwa ni uhalisia.
Za kuambiwa changanya na zako.
BTW mama mzazi pia unamchukia?
Tuliosoma cuba tulishamuelewa kitambo kuwa amekutana na za usoMwanetu ulikuwa unatafuta references upigilie misumali kwenye hasira ulizokuwa nazo Mana ipo wazi kuwa mwanetu wewe Ni mhanga wa matukio ya KE na una uchungu sana vile unasoma ni Kama unarecall tukio.
#Ondoa Hasira wapige miti.
Ipo wazi washampiga na kitu kizito huyuTuliosoma cuba tulishamuelewa kitambo kuwa amekutana na za uso
Uhalisia wa yaliyomo humu ni asilimia chache sanaYaan humu unaweza omba ushaur hata wa dawa na ukimwambia kinachouma wanakujibu kua ukimwi huo tayal
Kwanza nikuulize mtoa mada. Na wewe huna gari? Unajua wanaume tusio na magari jf ni watatu tu? Je unajua wanaume ambao hatuna magari mwisho mwaka huu. Kama hauna gari na hauna uhakika wa kulinunua mwaka ujao bora tu utoke jf maana mwaka kesho tutakuwa tunaongelea magari tu hapa. Usije ukatuchukia wenye nayo
Ni matokeo ya ujinga na ujinsia. Hata hivyo, umetoa hitimisho jumla. Si wote tunaounga mkono upuuzi huuMimi ni mwanachama niliyeingia juzi Kati Jamii Forums lakini baada ya kuingia huku nimekuwa nikisoma Uzi nyingi za mapenzi, nyingi zinalenga kuonesha wanawake walivyo wabaya Kwa wanaume.
Kila mtu anaekomenti kuhusu tukio la mwanamke anatoa comment iliyojitesheleza kuonesha wanawake walivyo na tabia Mbaya, hawafai, namna ambavyo wanawanyanyasa wanaume na kero zao.
Sasa na Mimi naona nimeanza kuwachukia na kuwadharau wanawake.Hii roho ya kuchukia wanawake inakuwa Sana kadri navyoingia jukwaa la mapenzi na siwaoni kama Tena marafiki Bali maadui . Nyinyi mnaonaje ndugu kaka na Dada zangu.Nipo peke yangu au tupo wengi.Mtazamo wangu Kwa wanawake umebadilika vibaya Sana.