Nashindwa kudownload application kwasababu ya Microsoft account naomba msaada

Nashindwa kudownload application kwasababu ya Microsoft account naomba msaada

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
Jamani ndugu yenu nimenunua lumia nataka ku download application nimeshafungua account zaidi ya 5 sasa ni wiki mbili situmiwi verification code,

Naomba msaada mwenye account ya microsoft anisaidie niitumie ku download tu application, ni mimi mwenye namba hii 0755914977 nisaidieni na mimi nipate whatsp nk.
 
Njia rahisi nikutumia email yako ya gmail ama yahoo kufungulia kisha utatumiwa link kwenye email yako ambapo utadhibitisha.
 
Back
Top Bottom