Nashindwa ku move on

Nakuelewa kuliko unavyo jielewa, coz we are in the same situation.... i think we have bad luck....or may be its a bad dream kesho ikifika mambo yatakua poa.
 
Kwanza wanawake wa sasa hata kama atajifanya analalamika kuachwa sio kweli waseme tu wanalalamika mrija wa pesa za matumizi umekatika lakini sio mapenzi ya kweli
 
Pole sana in short.....msipende sana acheni percentage ya uncertainty, msijiamini sana maana mambo yakigeuka maumivu ni makali sana.

Iliyobaki moveon you deserve better lady in action
 
Last edited by a moderator:
Shem katika Ubora wako wa Kila Siku
 
Last edited by a moderator:
Some times unajiuliza mtu unaempenda akikuacha ina maana unakuta wewe ni mbaya sana au inakuaje unapendwa aisee unaweza uone hauna thaman ikabisa katika hii dunia.

Eee Mungu nisaidie tu niweze kusahau

Mwandiko wako tu unaonyesha you are the best
 
Acha kujiendekeza wewe lia na anaelia na wewe unaumiaje wakati unaeumia kwajil yake anakula bata ??
 
Some times unajiuliza mtu unaempenda akikuacha ina maana unakuta wewe ni mbaya sana au inakuaje unapendwa aisee unaweza uone hauna thaman ikabisa katika hii dunia.

Eee Mungu nisaidie tu niweze kusahau

Haya unayoandika pamoja na hayo ya Heaven sent niliyoyasoma, binafsi nimekuwa nikiyaona kusababishwa na tabia ya 'ubinadamu'. Binadamu anataka aonekane ni tiofauti kabisa na viumbe wengine na mishafu nayo inachochoe tabia hiyo. Lakini tufahamu kwamba binadamu, pamoja na uwezo mkubwa wa brain tuliyonayo, bado kuna unyama ndani yetu.

Ubinadamu unatulazimisha tuishi kwa kile tunachoita ustaarabu hata kama siyo lazima. Kwa mambo haya ya mahusiano ndo kabisa! Unataka eti uwe na mume mmoja na mke mmoja, ukidhani ngombe na mbuzi hawajifahamu. Yes! Hawajifahamu lakini pia ndiyo sababu mbuzi jike au dume hawezi kujinyoga kwa kukataliwa na partner.

Kwa ufupi wana MMU, tunahitaji kuwa explorers. Lazima tuwe huru kuliko tunavyojidai. Usiolewe au kuoa ukakataa marafiki wa zamani. Nenda nao wakupe raha. Usijifunge na partner kwa wonga unaoletwa na mambo yasiyohusiana na psychology ya sex. Haya ni mahusiano yanayohitaji modifications kila wakati. re-label mahusiano yako kila wakati, basi!!
 
Uhusiano bora ni Ule ukupao tabasamu, kicheko, na Uhuru wa Moyo na nafsi Yako.. Kwanza naomba ufute neno Mbaya kwa kuwa Kila Alichokiumba mwenyezi Mungu Amekiumba katika Ubora Wake.

Siku Zote Unapotaka kuanzisha Uhusiano na Mwanaume Unatakiwa kuwa makini na kila aina ya mienendo ya mwanaume umtakae...

unapoingia kwenye mapenzi unamaana kuwa unatafuta liwazo na bembelezo la kudumu ma sio mtu wa kukuumiza na Kukuliza kila kitu. lazima Utambue na Kuamini kuwa Mtu unayemchagua ni Sahihi na Atakufanya Uishi katika Amani na tulizo la Moyo...

Usilie kwa kuwa Umeachwa na unashindwa kupiga Hatua, Usilie kwa kuumizwa ma kupata maumivu ya moyo bali Shukuru mungu kwa kukuonyesha Njia Sahihi kabla Hujafika mwisho... Kulia na kuomboleza kwa mtu asiye na Muda na ww ni kutoutendea haki Moyo Wako.

Simama na ufute machozi Wanaolia na kuumizwa ni Wengi na sio ww tu. Usikate tamaa ya Maisha kwa kuachwa na Mmoja Wapo watakaoiona Thamani Yako.. Simama imara na Mungu Atakupigania
 
Yani hizi siku mbili umekuwa na upako hatare. Barikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…