Nashindwa ku-login kwenye email, naomba msaada wa haraka

Nashindwa ku-login kwenye email, naomba msaada wa haraka

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,583
Reaction score
7,064
Jaman nakuja humu nikijua kuna magreat thinkers watanisaidia.

Email zangu zote nikilogn in wananambia my account has been disabled..

Nifanyeje jaman afu nimetumiwa vitu vya mhimu sana.

THANKS IN ADVANCE.
 
Natumia search engine moja tu mkuu nayo ni opera

opera pia ina proxy lakini inatambulika. jaribu kulogin na browser ya kawaida ambayo sio opera uangalie. kama bado inakataa lete message unayoambiwa hapa
 
opera pia ina proxy lakini inatambulika. jaribu kulogin na browser ya kawaida ambayo sio opera uangalie. kama bado inakataa lete message unayoambiwa hapa

Thanks mkuu,let me try
 
Back
Top Bottom