Nashindwa ku-apply Ajira Portal na kila kitu nimeweka kama ilivyotakiwa

abdallahross

Member
Feb 16, 2017
31
22
Habari Wakuu,

Naomba kuuliza kidgo, mimi nime-apply kazi leo Ajira Portal na kila kitu nime-upload kipo sahihi, lakini inaniandikia 👇🏾

Job application failed​

Sorry! You can not apply for the job post, Check Professional Requirements for the Job Post.

Please read and understand carefuly Job post qualification requirements before applying

Thank You
**

Sasa naomba kujua hapa whats the way forward jamani?
 
Ndugu kwa upande wangu ninasifa zote na haijawahi kunikubalia..hiyo kauli ya hauna sifa ni fact tu ila haina proof.. mnaongea fact ila nanyie mmekua kama system mpo too optimistic..you are dealing na wasomi humu na qualification needed wanazisoma but still ina fail..so either mje na solution kwa nini system ina fail hata kama sifa unazo au mkajihakikishe na jibu lenu kuwa huna sifa mmejiridhisha nalo..i hate this coz kila mtu analisema tatizo hilo na linajibiwa huna sifa
 
mleta mada yupo sahihi nimekutana na hayo malalamiko zaidi ya mara moja unakuta anahitajika civil engineer,na mtu ana qualification zote na ana degree ya civil kutoka udsm na ameregister ila ajira portal inakataa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom