kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,356
- 789
Wakuu naomba msaada account yangu ya Facebook inaniletea maswahibu ambayo siyaelewi, kimsingi sijawahi kulogout hii account ila nashangaa from no where imejifunga na nikiingiza password kuna ujumbe napata na sijui hata namna ya ku generate hiyo kitu, naomba msaada wenu wakuu ujumbe wenyewe ni huu hapa