Nashindwa acha TAMANI WANAFUNZI.... Wanajamii .. Help ME | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashindwa acha TAMANI WANAFUNZI.... Wanajamii .. Help ME

Discussion in 'JF Doctor' started by Kowan, Mar 25, 2011.

 1. Kowan

  Kowan Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nashindwa jizuia kabisa kwa watoto wa kike wa shule... sketi wanazovaa ni fupi na zina panda juu sehemu ya nyuma na kuacha mapaja yao wazi.... Hunivutia sana kimapenzi na kweli nashindwa jizuia watongoza........

  Sipati picha kwa hawa walimu vijana wa "KIUME" huko mashuleni......hasa pale"WATOTO" hawa wanapokua wameinama wanafagia.. Nahisi nao ni kama Mimi
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Unakoelelea ndugu sio kuzuri na unajitafutia balaa wewe
   
 3. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Khabithi! Afriti! Maluuni! Shetani!

  Natumai itakuwa huna ndugu wa kike.
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi naona labda unafanya jokes fulani mbona wapo wanawake kibao tu wanaovaa vinguo vifupi na ukikutana nao kitaa ni aibu au ugonjwa wako ni hizo uniform? Isije kuwa mpenda chee wewe unajua chipsi kuku basi umeua kiulaini, kitaa bila mavumba ya kiukweli hujang'oa mlupo!
   
 5. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Uniform zingne fupi ni za 'mabaa medi' mleta mada apa umechanganya si wanafunzi hao. Labda kama unataka kumrithi babu seya maana kabakiza miaka4 kutoka kwa msamaha wa rais ajaye!
   
 6. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wana JF,
  Kwa nini thread hii imehamishiwa JF Doctor?
  Ikiwa hapa ndio pahali pake tunawaomba wenye ujuzi wa hili gonjwa wamsaidie kabla hajaanza kubaka watoto wetu.
   
 7. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  uniform za wasichana za sekondary zina mvuto wake, mi nakumbuka wakati nasoma secondary nilikuwa navutiwa zaidi na msichana akiwa amevaa uniform lakini msichana huyohuyo akivaa nguo ya nyumbani hanivutii sana.

  Nivizuri jamaa amekua muwazi, chamsingi ni kumshauri kama alivyoomba.

  Mi kwa upande wangu nikushauri tu, hao watoto bado wanahitaji kusoma na hawastahili kubughudhiwa. Ingawa wapo wengine watafanya makusudi kukutega, ujue kuwa ukikamatwa sheria inwalinda wao na wewe upo hatiani.

  Jaribu kuvuta picha kama unabinti yako,mdogo wako au ndugu yako yeyote wakike aliyesecondary halafu jamaa wanamtongoza na wanampumulia utajisikiaje?

  Mwisho kama unadini, muombe Mungu akuwezeshe kushinda hayo majaribu maana wakati mwingine hata tukijaribu vipi majaribu huwa mazito sana, na njia inayokuwa imebaki ni kumuomba Mungu kwa kumaanisha kweli.
   
 8. Wed

  Wed JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  .

  Natumaini tatitizo lako ni kubwa zaidi. Siyo nguo fupi bali unamatatizo ya akili. Inawezekana wewe ni mmoja wa wale wanaopata mfathaiko wa kingono wanapowaona watoto yaani wewe ni "pedophile", wengine wanafathaishwa kingono wanapoona maiti, wengine wanyama, nk., nk, nk... Kijana chunga sana nakushauri Nenda haraka kwa Daktari ukatibiwe kabla hujaishia jela, .
   
 9. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  unafanya kazi wapi hata utamani wanafunzi? wasichana warembo wapo wengi sana haina haja ya kutamani madent wa sekondari. binafsi me nafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa za ellimu ya juu ( universities,colleges etc) so kama issue ni madent tembelea vyuoni utawapata tena ambao ni matured mnaweza hata kuzungumza na mambo mengine ya msingi. ila km ishu ni uniform mbona hata manesi wanavaa fupi. achana na hiyo makitu jombaa,itakupeleka pabaya jombaa.
   
 10. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Piga picha huyo unayemtongoza ni mtoto wako au dada yako wa tumbo moja
   
 11. N

  Newvision JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Long story short USIZINI kwa tendo au kwa kutamani ni DHAMBI
   
 12. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watch out aisee!
   
 13. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mtoa Mada punguza au Acha kabisa,tamaa Mbaya!!!
   
 14. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Watu mwatoa mapovu kwenye keyboard lakini mwaujua ukweli mioyoni mwenu.Nadhani mtoa mada ana ugonjwa kama mgonjwa yeyote ule,ana tatizo ambalo dawa yake anadhani ataipata hapa.Hebu tushauri kwa busara.
   
 15. i

  issabela Senior Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole sana jitahdi kuzuia kiungo chako kisikupeleke motoni jizuie kuangalia
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kowan pole sana na swahiba unapata... Hilo ni tatizo kubwa sana na nimeguswa sana wewe kuweza weka hii thread yako hapa. Mimi ni mzazi wa binti ambae bado ni mdogo na anakuwa, huwa inaniuma na kuwaza sana huku nikimuomba Mungu asikutane na wanaume kama wewe huko njiani.

  Nimependa heading yako ambayo umeeleza ukweli kabisa na ukaishia kwa kuomba msaada. Mimi naona hio ni 'Step' kubwa mno umechukua. Kikubwa weka pia nia ya dhati kabisa kuwa kweli unataka kulimaliza. Hata hivo nashindwa kukupa ushauri sababu kuna mahala nimekwama na sikuelewi vizuri. Mara nyingi mimi hutamani sana nikutane na mtu ambaye anakubali kabisa anapeda wanafunzi na anawatongoza ili walau nimuelewe, mana ni wengi katika jamii wanafanya ila hawakubali kuwa wanafanya, wao hutaka kujionesha ni watakatifu...

  Kama hutajali naomba nikuulizeNimuulize maswali kama:-


  1. Unaposema unavutiwa na hizo skirt una maana tu ni ufupi wa zile skirt? Kwamba binti mwingine ambaye ni mkubwa above 20 akivaa nae pia akuvutia?
  2. Kwa kauli hizi ina maana kuna uwezekano mkubwa sana ushawahi lala nao mana mara nyingi ni rahisi kutongoza na kurubuni mwanafunzi. Naomba kujua kuwa hamu huisha au inabidi utafute tena mwanafunzi mwingine.
  3. Wanafunzi ni relative term, hao wanafunzi ni wa miaka mingapi? ama niseme level ipi ya uanafunzi? Primary/O-Level/A-Level ama chuo?

  Kama kweli una nia ya kuacha hii tabia hatari na mbaya ya tamaa ya wanafunzi, nijibu tujaribu kwenda bega kwa bega, tukitarajia na michango toka kwa wengine pia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mammamia wewe ni kaka, kwa mtazamo wako (tokana na a man's perspective) na sababu your field applies unadhani hapa tatizo ni nini? Kwa nini baadhi ya wanaume (tena wengi tu) hupenda na kutamani wanafunzi?

  Katika hili nitaomba pia Mpatanishi (habari ya siku kaka) na Azimio Jipya (please apply your psychology here and narrow it down kama inawezekana), Roulette (want to see your angle alter) wanisaidie.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0

  Ingawa wengi tumezungumza kwa utani, kejeli na kulaani tabia ya ndugu yetu huyu Kowan, ukweli ni kuwa haya ni matatizo ya kisaikolojia kama ambavyo wengine hupata ashki kama hiyo kwa wajawazito, wenye maungo maumbo makubwa au madogo, vikongwe na wengine hadi kwenda makaburini kufukua maiti na kuwafanyia tendo la ngono.

  Kuhusu sare na mavazi, nimepata kuwasikia wengine wakivutiwa na wanawake wanaovaa sare za hospitali, katika magwanda ya jeshi au polisi hadi wale wanaojisitiri sana (mfano kama katika avatar yako - lol). Kwa hivyo siwezi shangaa kuwa huyu kijana wetu yeye kaathirika na wanaovaa sare za shule, na kueleza wazi kuwa hasa ni zile zisizositiri sana miili yao.

  Katika uchaguzi wa kile mtu anapenda sidhani kama kuna kosa isipokuwa pale anapovuka mipaka, kama lile la kufanya ngono na maiti na wanafunzi. Kama nimefahamu vyema bandiko lake ni kuwa wanaovaa sare mara nyingi ni wanafunzi hadi sekondari, na hawa wengi wao bado wanakuwa na ule umri ambao kisheria tunauita umri mdogo, na hii ni hatari sana. Kwani, licha ya umri wao mdogo, bado ni wanafunzi na wanapaswa kushughulikia masomo yao na sio kuangukia mikononi mwa mabazazi, au tuwaite wagonjwa kama ndugu yetu huyu.

  Kwa kuwa mimi sio mtaalamu wa saikolojia, na kama nilivyosema katika bandiko langu na wengine kumshauri, nahisi anapaswa kuwaona wataalamu wanaohusika haraka. Kumwambia tu awaone hao anaowatamani kama ndugu au watoto wake haiwezi kumsaidia kwani moyoni anajua kuwa hao hana uhusiano nao, na kama gonjwa lake limekubuhu anaweza hata kuwatamani ndugu au watoto wake. Anahitaji msaada wa kitaalamu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Fikiria kama angekuwa ni mdogo wako wa kike anafanyia hivyoo, ungejisikiaje??
  huna mdogo wa kike?? nahisi huna!! ndo maana hujui inavyouuma ukimkuta mdogo wakowa kike na mwanaume
   
 20. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kowan,

  Tukabili hii hoja moja kwa moja! Tufanye tiba kwneye chanzo "Healing at the cause"

  Unapomtizama mwanafunzi na kumtamani chunguza jambo hili.

  Unasikia kama kitu kinakuongelesha ndani ya fikra zako? Kama sauti ndani ya fikra zako inakuogelesha, kukusemesha na kukupa msukumo na ushawishi usiozuilika kabisa wa nini ukafanye na huyo mwanafuzi?

  Hebu jichunguze alafu nipe jibu ..tuweze kuendelea!!
   
Loading...