AHMARDZ
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 790
- 678
Habarini wana JF, mimi ni mhanga wa ajira kwa muda tuu ila nimetafakari na kuona halihalisi ya maisha yanavyozidi kuwa juu nimeona nitafute kazi nje ya nchi, nje ya Africa kazi yoyote ya halali hata kudeki vyoo, kwa anayejua au mwenye ndugu pls aniunganishe, asanteni mtakaoguswa. Maisha magumu jamani na mkee na watoto msaada jamani nikapambane hata mwenye connection ya Qatar,bahrain,Dubai hata canada.