Nashauri wasomi waache kuongoza, nchi wapewe watu kama Musukuma au Lusinde tusonge mbele

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,684
Hawa wa kukariri vitabu wanatuchelewesha tu, kikubwa wanachokifanya ni kutuonyesha umaridadi wao wa kukariri vitabu tu basi. Leo anakuja na maneno yake aliyoyatoa kwa Marx, kesho anakuja nayo ya Mao, kesho kutwa ya Nyerere, mtondogoo ya Trump, maisha yanaenda hivyo tu bila utendaji, hakuna cha maana, miaka 60+ sasa ya uhuru.

Ni wakati wa watu wenye akili za kuzaliwa na misimamo sasa tusonge mbele, enough with bookish clever plans!
 
Ngoja waje wasomi Uchwara. Nimekaa pale nawasikiliziaa! Mtoa mada uwe mvumilivu tu kwa hayo mawe utakayorushiwa!
 
Waje tu, hamna kitu......leo katika 'the big ajenda' alloyce nyanda, pamoja na kwenda na vifungu vyake vya katiba, 0 msukuma 3
 
hawa wa kukariri vitabu wanatuchelewesha tu, kikubwa wanachokifanya ni kutuonyesha umaridadi wao wa kukariri vitabu tu basi; leo anakuja na maneno yake aliyoyatoa kwa Marx, kesho anakuja nayo ya Mao, keshokutwa ya nyerere, mtondogoo ya trump.......maisha yanaenda hivyo tu bila utendaji, hakuna cha maana, miaka 60+ sasa ya uhuru.

Ni wakati wa watu wenye akili za kuzaliwa na misimamo sasa tusonge mbele.......enough with bookish clever plans!
Siyo lije jeshi
 
Hawa wa kukariri vitabu wanatuchelewesha tu, kikubwa wanachokifanya ni kutuonyesha umaridadi wao wa kukariri vitabu tu basi. Leo anakuja na maneno yake aliyoyatoa kwa Marx, kesho anakuja nayo ya Mao, kesho kutwa ya Nyerere, mtondogoo ya Trump, maisha yanaenda hivyo tu bila utendaji, hakuna cha maana, miaka 60+ sasa ya uhuru.

Ni wakati wa watu wenye akili za kuzaliwa na misimamo sasa tusonge mbele, enough with bookish clever plans!
Mtu mmoja kama uliowataja,yupo Ikulu mpaka sasa hv,sio msomi wa ngazi yoyote ya juu,ameunga unga tu,sasa anayoyafanya,Mungu pekee anajua,
Kinana,Kikwete,Mwinyi(Baba)Hawa wote sio wasomi,wengine walikuwa waalimu wa Siasa jeshini,kuwa na shahada moja sio usomi.
Yaani uchukue nchi,umpe msukuma,kibajaji,watu wenye akili kama baba levo?!!
 
Waambie ukweli hawa mandezi!
 
Naona umepata mwanya wa kutoa, oh sorry, kuonyesha na sio kutoa, chuki zako kwa huyo mtu mmoja aliye ikulu......Pole sana!
 
Back
Top Bottom