Nashauri salamu ya "Shikamoo" ifutwe

Aisee kama ni hivi baaaaasi leo mwisho
 
Mi nimeanza tumia Habari yako
Habari za Jioni
Asubuhi
Mchana
Usiku
 
Sio kila cha aliefanikiwa unaweza kuiga , wengine wanafanikiwa kwa kufanya unyama mwingi
 

Salamu kama hiyo uliyoanza nayo mtoa mada, ndio iko poa.

#ShikamooIfutwe
 
Marahabaa kijana mwenye roho mbaya.
 
Mi nadhani ukiacha wewe na watu wanaokuzunguka inatosha sanaa, wengine hatuoni kama tunapoteza au kuongeza kitu kwa kusema au kutokusema hiyo "shikamoo".
 
Je mama au baba yako ni utumwa kumpa 'Shikamoo'?
au kikwazo chako ni kwa watu wasio na nasaba na wewe?
 
Nimefurahi kuona kuna wengi tusiopenda salaam hii. Niliwai kuweka bandiko la kuomba salaam ya kiswahili mbdala yenye heshima sawa na sio kisela au kimwanangu mwanangu. Niliona wazanzibar wako vzur kwa kutumia asalaam alaykum kwa rika zote. Tatzo ni jamii zinazodhan ni salam ya kiislam had waislam wenyew baadh kudhan ni ya kiislam.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…