Kitu kinaweza kuwa kilekile lakini kikabadilishwa maana. Shikamoo ni salamu anayopewa mtu anayekuzidi umri na haimanishi shikamoo ni utumwa. Vipi kuhusu kugonga, kugongewa, shoga, tigo? mbona hayajawekwa kwenye maana ya msingi? Na kwanini yamepewa maana ya ziada? Kasome kitabu cha Semantiki na Pragmatic utajifunza mengi kuhusu lugha ya KIswahili. Watu wengi hawajui Lugha ya Kiswahili ndiyo maana wanaona shikamoo ni utumwa.Shikamoo humaanisha hivi...nipo chini ya miguu yako, mimi si lolote kwako, sina thamani juu yako, nakutukuza, unachoagiza kwangu kutekeleza ni wajibu, mimi ni dhaifu kwako, ukitaka kunipiga nipige tu hata siwezi kujitetea kwako mkuu nk.
Kwa muktadha huu inabidi shikamoo ihifadhiwe maktaba ya Taifa.
Naye anajiona mjanja kutamka Good Morning wakati ndiyo utumwa wenyewe. Watafute kitabu kinaitwa Semantiki na Pragmatiki wanajifunza mengi sanaNikajua una salamu mbadala, kumbe utaahira tu. Sasa good morning ndio kitu gani? Yaani unasema shikamoo ni utumwa ila good morning ndio nzuri, kichwani una akili au makamasi?
Vijana wa siku hizi, badala watumie akili kufikiri wanatumia inye ndembe ndembe.
Duuuh !Shikamoo humaanisha hivi...nipo chini ya miguu yako, mimi si lolote kwako, sina thamani juu yako, nakutukuza, unachoagiza kwangu kutekeleza ni wajibu, mimi ni dhaifu kwako, ukitaka kunipiga nipige tu hata siwezi kujitetea kwako mkuu nk.
Kwa muktadha huu inabidi shikamoo ihifadhiwe maktaba ya Taifa.
Kuna maana ya msingi na maana ya ziada. Hatuko huko kwenye maana ya msingi tupo kwenye maana ya ziada ambayo ni salamu anayosalimiwa mtu anayemzidi umri. Kasome kitabu cha Semantiki na Pragmatiki utajifunza mengi sana. Vipi kuhusu kugonga, Tigo, shoga, umeme ? Mtu akisema huyo jamaa ana umeme unaelewa ana umeme wa TANESCO? Shikamoo inaleta mipaka na heshima kati ya mtu anayekuzidi umri. Utakuta mtu anaona shikamoo ni utumwa halafu anaanza kusalimia Good morning. Huyo anayesalimia Good morning inabidi akapimwe mkojo"Nipo chini ya miguu yako" nido maana halisi ya (shkamoo).
Atoto hebu toa neno hapa kabla hujapata hiyo shikamooπShikamoo humaanisha hivi...nipo chini ya miguu yako, mimi si lolote kwako, sina thamani juu yako, nakutukuza, unachoagiza kwangu kutekeleza ni wajibu, mimi ni dhaifu kwako, ukitaka kunipiga nipige tu hata siwezi kujitetea kwako mkuu nk.
Kwa muktadha huu inabidi shikamoo ihifadhiwe maktaba ya Taifa.
Dogo acha ujeuriπHabari za kuinama huko chini na kushika miguu yako si nitapofuka
Sawa unajua pakuipata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni tafsiri yake bwana, shikamoo yangu iko pale pale.
Woiii nasikia ndio maana yake eti.... Tuendelee tu kuambiana za saa hizi, umeshindaje, kwema? [emoji23][emoji23]Dogo acha ujeuri[emoji23]
Acha janja janja bwana.Sawa unajua pakuipata[emoji23][emoji23]
Hahahaha umekuwa mtoto mwema kwa kuitikia witoAcha janja janja bwana.
ππππHahahaha umekuwa mtoto mwema kwa kuitikia wito
Hapana, sio maana yake.Woiii nasikia ndio maana yake eti.... Tuendelee tu kuambiana za saa hizi, umeshindaje, kwema? [emoji23][emoji23]
Tukutane JKNA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bichwa lako.