Nashauri pension iwe baada miaka miaka 15 kuliko miaka 60

Nashauri pension iwe baada miaka miaka 15 kuliko miaka 60

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,812
Reaction score
2,360
wanajamvi mimi nimewaza sana kuliko kupewa pension ukiwa na miaka 60. hoja yangu hapa ni kwamba ninapewa hela nyingi wakati akili yangu imechoka ni kumchanganya mtaafu na kufanya vituko mitaani ni bora nipewe hela nikiwa na uwezo wa kufikir ili nipange miradi ya maendeleo kuliko kusubiri mpaka nikiwa mzee.
 
Una Stress Kichwani Za Sheria Mpya Ya Fao La Kujitoa Inayopelekwa Bungeni Soon Kwakuwa Serikari Imeifilisi Hii Mifuko
 
wanajamvi mimi nimewaza sana kuliko kupewa pension ukiwa na miaka 60. hoja yangu hapa ni kwamba ninapewa hela nyingi wakati akili yangu imechoka ni kumchanganya mtaafu na kufanya vituko mitaani ni bora nipewe hela nikiwa na uwezo wa kufikir ili nipange miradi ya maendeleo kuliko kusubiri mpaka nikiwa mzee.

Kajiunge na panya road mkuu! Upewe pension umefanya kazi gani? Unajua pension inapatikanaje?
 
hizo pension zenu ndio serikali ishafanya mahali pakuponea kukamilisha mambo yao .
 
ulikuwa unamaanisha miaka 15 baada ya kuanza kazi?
 
Serikali inalipa madeni ya ujenzi wa UDOM, pension baada ya miaka 60. Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu. Tuseme hapana kwa sheria za kinyonyaji kama hizi.
 
Kijana Amka Wakati Ni Mwaka Huu, Kura Yako Moja Tu Itabadili Mchezo, C Mnang'ang'ana Kuwapigia Ma Ccm Every Voting Period, Mabadiliko Daima Huanza Na Wewe
 
jamani kila jambo lina makusudio yake...pensheni makusudio yake ni kukupatia kipato pindi uwezo wako wa kufanya kazi unapokuwa umeondoka au umepungua ama kwa kufikisha umri au ugonjwa. Tuangalie fursa zingine za kuongeza kipato wakati tuna nguvu...
 
Back
Top Bottom