the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 760
- 920
MZEEatauliza hapa nipo studio ya TBC au ni wapiMzee kumbu zimeenda
Ile hotuba yake nimei'download kabisa, huwa nacheka sana nikiisikiliza. Alifanya hata mjane acheke na kusahau machungu kwa muda.Mzee alileta faraja msibani Kwa kweli.Anastahili pongezi. Kwa upande wangu Mkwere alizingua.
Ile hotuba yake nimei'download kabisa, huwa nacheka sana nikiisikiliza. Alifanya hata mjane acheke na kusahau machungu kwa muda.
Aisee! Wewe hujui kuwa hujui.Mzee alileta faraja msibani Kwa kweli.Anastahili pongezi. Kwa upande wangu Mkwere alizingua.
Naafiki, ukizingatia kwamba siku ya mazishi ya Magufuli alikuwa anakatishwakatishwa na wasaidizi wakeWakuu natumai mmeshinda salama, najuwa wengi mko busy na mchakato mzima wa VP na mstakabali wa Taifa letu. Ila ni pendekezo tu kwanini vyombo vya habari kama TBC kwa kipindi hichi cha Maombolezo wasimkaribishe Mzee Mwinyi atuambie mawili matatu wampe hata masaa 3 na amini ana mengi ya kutuambia.
Hili wazo limekuja baada ya kuona kwenye msiba walimkatisha apewe mda wake atupigie story kidogo.
MZEEatauliza hapa nipo studio ya TBC au ni wapi
Anawasahau hadi watoto wake lakini sio Sitti.Unataka mzee amuulize mwendesha kipindi "Mama Sitti" yuko wapi?
Niliskia wengi wakiponda kuwa kikwete kazingua ikanibid niitafute ile hotuba yake.Mbona jamaa aliongea vizur sanaaa.Lugha adhim kabisa ..maneno ya kistaarabu sana.Sikuona alipozinguaMzee alileta faraja msibani Kwa kweli.Anastahili pongezi. Kwa upande wangu Mkwere alizingua.
Mzee alileta faraja msibani Kwa kweli.Anastahili pongezi. Kwa upande wangu Mkwere alizingua.
Mkwere alitumia muda wake mwingi kujimwambafai tu na kujikosha!! 😇Mzee alileta faraja msibani Kwa kweli.Anastahili pongezi. Kwa upande wangu Mkwere alizingua.