Nashauri Mrisho Gambo agombee ubunge 2020 Arusha mjini

Ndio Ukweli huo. Monaban hata mimi ningemshinda.. Haikuwa saizi ya Lema. Kinana anamuandaa Gambo kuja kulirudisha Jimbo lake
wasiojua Arachuga watabaki kuuza chai humu. hawaoni kwanini Lema amepanic sana kumuona Gambo? anamjua Gambo sawa sawa maana aliisambaratisha team Lowasa ikiongozwa na Bananga na Milya mpka wakafukuzwa kwenye chama
 
Siasa ni timing atafanya sasa hivi then lema atakuja fanya moja watasahau yote watamkumbuka lema
 
Kwani akiwa RC hawezi kuyafanya hayo mpaka awe mbunge. Abaki hapo hapo Rais wa mkoa wa Arusha amchachafye Lema akagombee Ngarananyuki.
Achukue Jimbo CCM haina mtu aliyeishi Arusha anayeweza msumbua Lema. Gambo ni chaguo sahihi kwao. Anaweza kuwa hata Waziri Mkuu Baadaye
 
Gambo?! Kugombea Ubunge wa Arusha?! Acha ibaki kuwa ndoto.
 
wasiojua Arachuga watabaki kuuza chai humu. hawaoni kwanini Lema amepanic sana kumuona Gambo? anamjua Gambo sawa sawa maana aliisambaratisha team Lowasa ikiongozwa na Bananga na Milya mpka wakafukuzwa kwenye chama
Waambie..
 
Achukue Jimbo CCM haina mtu aliyeishi Arusha anayeweza msumbua Lema. Gambo ni chaguo sahihi kwao. Anaweza kuwa hata Waziri Mkuu Baadaye

Gambo awe waziri mkuu? Uyu anaepigania wanawake? Mnafiki mkubwa uyu aliemchongeza mkuu wa mkoa mpaka akatenguliwa?
Kiujumla Gambo ajawai kufanikiwa sehemu yoyote kwenye maisha yake,zaidi ya kupandikiza chuki na majungu.
 
Kumbuka ana Masters pia.. Hayo sio mafanikio..?
 
Jamaa yuko vzuri sana anatatua migogoro vizuri na kwa amani big up gambo
 
Umesema hajawahi fanikiwa Kwa chochote Kwenye maisha yake. Weka Akiba ya Maneno Mkui

Hivi kuwa na masters ni kufanikiwa? Je PhD holder kama Dr. Rutengwe utasemaje? Tumia akili yako kufikiri. Dr. Rutengwe aliomba kupangiwa kazi nyingine baada ya kutumbuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…