Nashauri Mrisho Gambo agombee ubunge 2020 Arusha mjini

Nipo Arusha na nazunguka sana Kwa machalii. Mh Lema asipokuwa makini hili Jimbo linaondoka
Wacha kujitoa Akili wewe mimi mwenyewe nipo Arusha ccm ilisha jifia na inaendelea kuoza
 
2020 mwisho wa matapeli wote wa siasa tunaingiza damu mpya ambao wanajua kuwatumikia wananchi. LEMA kwaheri Arusha bunge utaiona kupitia TV
 
Umakini wa Gambo ni upi?
 
Ndio Ukweli huo. Monaban hata mimi ningemshinda.. Haikuwa saizi ya Lema. Kinana anamuandaa Gambo kuja kulirudisha Jimbo lake
 
Asijisumbue arudi tu alikotoka!
 
Kwani akiwa RC hawezi kuyafanya hayo mpaka awe mbunge. Abaki hapo hapo Rais wa mkoa wa Arusha amchachafye Lema akagombee Ngarananyuki.
 
Nipo Arusha na nazunguka sana Kwa machalii. Mh Lema asipokuwa makini hili Jimbo linaondoka
Maneno yenu tushayazoea hayo, mnyika kashinda kibamba bila kufanya chochote na madiwani lukuki, kunasehemu hata ccm wafanye nini hawashindi, ni lini ccm itashinda pemba?
 
Labda Kwenye Kupigana. Mimi ni BAVICHA ila naona Impact yake
Mbona umeng'ang'ania mara mimi mpenzi wa chadema mara bavicha!!? Kwa taarifa yako ww sio bavicha wala nini, Bavicha wote wanauwakika na safari yao juu ya chadema.
Wewe kaungane na lumumba wenzio, Arusha si lelemama kama ufikilivyo na ndoto zako za mchana kweupee.
 
Mpiga ramli wako kakuingiza chaka!
 
Sawa mkuu nitazidi kumkosoa mbunge wetu ili aamke
Mh Lema hata kama akiamua kulala nyumbani kwake na huyo Gambo wako akafanya kampeini kamwe hatoweza kupata hata kura 1000 na mh Lema ataibuka kidedea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…