Nashauri Mrisho Gambo agombee ubunge 2020 Arusha mjini

Hapana Jimbo la Arusha mjini nitagombea Mimi. It is my birth right!
 
ha ha ha anagombea arusha ipi?😀😀😀😀😀😀
 
WeWe muongo sio bavicha.
1-usingeandika "mrisho gambo gombea ili wapinzani wajifunze'' inamaana wewe sio mpinzani.

2-Inamaana umejisahaulisha siasa ni marufuku mpk 2020? unadhani lema siasa atazifanyia wapi?
Juzi tu hapa kanyimwa dhamana mpka alipogoma kula ndipo akapewa.

3-hauna haja yakudanganya wewe ni bavicha wakati mwanzo wa uandishi wako umesema wewe ni mpenzi "tu'' wachadema.
 
......mm ni mwana chadema ila na support kaka yangu mrisho gambo agombee ubunge arusha mjini................,,,,,,,
 
Nitaendelea kuwapa updates kuhusu Gambo vs Lema hadi 2020 muone kwamba sijakurupuka
 
Big up well written,umesema ukweli ata kama wengine itawauma.
 
Hivi huwezi kutoa maoni yako bila kuingiza maneno ya ukabila..Ukabila, udini au ukanda hauna nafasi katika Tanzania ya leo.Jifunze kuchangia bila kuingiza maneno yenye harufu ya ubaguzi.
Ukweli utakuweka huru
 
Hivi BAVICHA haruhusiwi kuwa na mawazo huru na kusema ukweli?
 
We ni lazima utambue kwamba watu wa Arusha wana allegy/mzio na CCM. Hivi huyo Gambo atamchagua nani wakati mkakati wa wanaarusha ni kuifuta kabisa CCM hasa kumpiga chini diwani wao mmoja aliyesalia na kuhakikisha Arusha inakuwa free from CCM
 
Kuna Mtu aliyeamini Ezekia Wenje atakosa Ubunge huko mwanza?
Kwa mbinu walizo tumia kulipata jimbo la wenje wakitumia hizo, basi inchi nzima na bunge zima litakua chini ya ccm sio Hai wala mby mjini, sio vunjo wala kawe. yaaani ni kuanzia ulanga mpaka sumbawanga, makete mpaka masasi, mwisho wa leli kigoma, wooooooote watakua ni CCM.
 
Huyu Gambo ni mtendaji sio mwanasiasa, na uzuri wake hana maigizo nakumbuka enzi za JK alikua na kasi ya maendeleo sana pale Korogwe.
 
Na ndio tunatakiwa tuwe wa Kweli sio kusema tu Arusha ni ya Lema
 
Siasa za kutatua matatizo ndio zinatakiwa kipindi hiki.. Zile za magamba zimeshiptwa na wakati.. Kuna magamba tena siku Hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…