Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,593
- 2,380
Kuna vitu vinaukamilisha msalaba, huo diyo msalaba.Serikali haina dini ila watu wake wana dini! Tanzania haina dini ila watu wake wana dini! Watu walishatahadharisha mapema tu hapa! Haya mambo ya misalaba kwenye jezi ya taifa sinunui hata Kama Mimi ni mkristo! This is not fair and this is our country View attachment 1051778View attachment 1051779
Sent using Jamii Forums mobile app
Mantiki siyo kutisha ila msalaba ni alama ya dini za kikristo wakati huo serikali haina dini ,ni sawa na jezi kuchorwa nusu mwezi na nyota .Jamaa mmoja tulifika mahali tukapumzika, nikashangaa ameamka chaap na kuniambia twende zetu, nikamuuliza nini shida tena??
Akasema chek apo juu, kuangalia kuna alama ya msalaba. Dah nilicheka sana nikamsapoti tukaondoka lakini moyoni najiuliza kwel wanadam tumekuwa waoga sana na kifo sasa msalaba nao kumbe tunapaswa kuukimbia?
Sasa wale wanaotembea nao kwa shingo si wangekuwa wameshakufa muda mrefu??
Tusiwe na imani za kubahatisha tujaribu kufikiri mambo criticaly.
Mm napishana nayo sana lakini haiwezi kuniondoa kwenye ibada na Mungu au kunitisha chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.
Chakushangaza utakuta mbunifu wa hizo jezi ni mwislam.Hata wachezaji Waislam wasivae hizo jezi.
Huu sasa ni uchokozi wa hali ya juu.