Nash mc afanikiwa kufanya ziara Ujerumani, Hip Hop Inalipa!!!!!

Jamaa namfahamu fika na kazi zake hadi anapo ishi kwa shangazi yake huko temeke Mbagala, juzi kati alikuwa Uganda kwenye mkutano wa nini alikutana na wasanii wa kenya, uganda na rwanda
Anaishi kwa shangazi yake????
 
Tatizo la Nash mc anajifanyaga anajua sana hip hope kumbe mziki ushamshinda maana kila siku anakaaga kulalamika...kuwa apewi air time radion ndo wakati yeye atoi ngoma.

Then Wewe mtoa mada kuhusu Nash Mc kwenda ujerumani ..anaendaga sana maana Nash mc yuko kweny NGO flani yakukuza kiswahili kwa nchi za kigeni inaitwa Vinasa Sauti...nadhani anaweza kwenda German hata Mara 6 kwa mwaka
 
Hahaa!!!! Tatizo lake ujuaji mwingi mbaya zaid hajui chochote kuhusu Hip Hop ila ndo anajifanya yeye ndiye mwalimu wa Hip Hop
 
Jamaa namfahamu fika na kazi zake hadi anapo ishi kwa shangazi yake huko temeke Mbagala, juzi kati alikuwa Uganda kwenye mkutano wa nini alikutana na wasanii wa kenya, uganda na rwanda
Anakaa chamazi siku hzi.
 
naaam ana ngoma inaitwa hivyo pia....then ana ngoma ambayo amechana then kwenye verse anasema kuwa yeye ndiye mc pekee kutuka THT
(Tanzania hiphop tunauza..)
Hahahaaaaa, huyu jama noma sana, eti Tanzania Hiphop Tunauz (THT), hahahaaa.
 
hahaaa"" kwahiyo mwanzo ulidhani "" nimezusha"" bahati nzuri wakati anaingiza vocal "" ktik hixo ngoma zote nilikuwapo"" in short mpka wakati anaandaa album ya mzimu wa shaban Robert nilikuwepo pia""
 
Inaonekana wewe ni mtu wake wa karibu, hongera mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom