Nasema siwezi kuacha kuchepuka

Unachokiacha na kile unachokifuata vyote ladha ni moja.. HESHIMU THAMANI NA HISIA ZA ULIYENAE.
Haaaa wewe ibra wewe tofauti ipo kwakweli aah ukisema ladha ni ile ile hapana kwakwel
 
Chepuka tu kwani nani kakukataza faida yake utaipata tu utakapo tendwa na huo mchepuko
 
Hii sababu haitoshi kujustify a man kuchepuka. Personally, I wouldn't dare kuchepuka if am getting everything (peace, happiness, love, conjugal right) toka njia kuu.
Wacha ufala na kujishebedua hapa JF wewe, 99% ya watu wana mahusiano na zaidi ya mtu mmoja that's a fact. Huyo mke wako au sijui demu unaemtafuna amesharafunwa na ME wengi mpaka hawakumbuki wewe mwenyewe unaona umepaaata kumbe over used and still watu wanamtafuna. Vice versa is also true wewe mwenyewe Huna lolote mkware uliekubuhu tu. Mimi michepuko na gonga like there is no tomorrow na usipoangalia na demu wako nimempitia dadeki.
 
Mbona umepanic kwa vitu visivyopanikisha, ushaukwaa nini?
 
duh kama kigezo ni wingi wa wanawake basi nao wasingekuwa wanachepuka. Bukoba kuna mwanamke wa mtu kafia guest house akiwa na jamaa. Alichepuka nae au kijijini kwao wanaume ni wachache kuliko wanawake?
 
Utacheputa ma majini bure!!!!
 
Nenda taratibu tu baba ila uclete gono nyumban utanitambua
 
Oa wanne. Usichepuke, waoe kabisa
 
Mwambie mkeo hayo maamuzi yako akikubali wewe undelea kuchipuka hata ukiupata ukimwi iwe na mkeo amechangia sio tuchangie sisi.
 
Usimpige mkeo pindi atakapoibuka na mahesabu yake kama ulivyofanya wewe na kusema kua kwake michepuko ni inevitable. I hope unajua sahivi ni 50 kwa 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…