Nasema siwezi kuacha kuchepuka

Hii sababu haitoshi kujustify a man kuchepuka. Personally, I wouldn't dare kuchepuka if am getting everything (peace, happiness, love, conjugal right) toka njia kuu.
 
Wewe ni producer mwenzio consumer tafakari utajakufa bure na michepuko
 
Chepuka salama, ukipata tuzo ya Ukimwi utuambie pia tukupongeze.
 
Hii hoja ilitakiwa kuwekwa ktk rasimu ya katiba mpya.turuhusiwe kuoa hata watatu ....
 
Usifie gesti tu. Halafu umpe ma sapu wako mda mgumu kuwaelezea watoto jinsi mshua wao alivyodanchi.
 
mkuu, nakuunga mkono kwa 100%....hakuna jinsi ya kuepuka mchepuko....kuacha kuchepuka ni ubinafsi uliopitiliza. sasa tukiepuka mchepuko hao wanawake wanaozidi ni nani atakayewa-service. mnaokataza michepuko acheni huo uubinafsi wenu wa kijinga.
 
lazima nichepuke tu atake asitake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…