NASEMA MTAENDELEA KUONGOPEWA MPAKAAA

NASEMA MTAENDELEA KUONGOPEWA MPAKAAA

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Vipimo hivi havipimi virusi hata mmoja wa HIV-VVU na haitakuja kutokea hata siku moja kipimo hiki kikaacha kupima kinga za mwili na kikawa cha VVU hila hilo halipo kamwe na haitakuja kutokea, daima Elimu duni watu wanaamini kuwa kipimo hiki ni cha UKIMWI sio kweli hata watu wanadanganywa hadi Leo.
FB_IMG_1541077331903.jpg
 
Kwanza kwa kuandika kwako inanipa wasiwasi kama unajua tofauti ya VVU (HIV) na UKIMWI (AIDS) wewe
 
Naelewa vzr sana tofauti ya HIV na VVU pia tambua kuna aina nyingi za ukimwi
 
Ni vizuri ukipinga mambo ya kitaalamu, ungeweka na hoja zilizoshiba. Sio sahihi kupinga kitu halafu hautuhabarishi huo usahihi ni upi.
 
Vipimo hivi havipimi virusi hata mmoja wa HIV-VVU na haitakuja kutokea hata siku moja kipimo hiki kikaacha kupima kinga za mwili na kikawa cha VVU hila hilo halipo kamwe na haitakuja kutokea, daima Elimu duni watu wanaamini kuwa kipimo hiki ni cha UKIMWI sio kweli hata watu wanadanganywa hadi Leo.View attachment 917901
Dr.William
 
Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu Elimu
 
Vipimo hivi havipimi virusi hata mmoja wa HIV-VVU na haitakuja kutokea hata siku moja kipimo hiki kikaacha kupima kinga za mwili na kikawa cha VVU hila hilo halipo kamwe na haitakuja kutokea, daima Elimu duni watu wanaamini kuwa kipimo hiki ni cha UKIMWI sio kweli hata watu wanadanganywa hadi Leo.View attachment 917901
Huenda mwenzetu unaujua ukweli
Tuambie ili tusidanganywe
 
Vipimo hivi havipimi virusi hata mmoja wa HIV-VVU na haitakuja kutokea hata siku moja kipimo hiki kikaacha kupima kinga za mwili na kikawa cha VVU hila hilo halipo kamwe na haitakuja kutokea, daima Elimu duni watu wanaamini kuwa kipimo hiki ni cha UKIMWI sio kweli hata watu wanadanganywa hadi Leo.

Hiki hakipimi VVU
Kinapima UKIMWI kwa kuangalia kemikali (Antigen) mwili uliotengeneza / uliotoa ili kukabiliana virusi vinavyosababisha ukimwi.
Sasa wewe mtaalamu tuambie ni kwanini tuache kuamini tulichosoma toka kwa researchers kibao tukuckilize wewe
 
Back
Top Bottom