Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,136
- 55,605
Anajipa matumaini kwa kukosoa majibu sahihi ya kipimoHuyu kanjanja tu, hana lolote
Hiko kipimo sidhani hata kama anajua kinafanyaje kazi
Anajipa matumaini kwa kukosoa majibu sahihi ya kipimoHuyu kanjanja tu, hana lolote
Hiko kipimo sidhani hata kama anajua kinafanyaje kazi
Mtu akitumiaa ARV Kwa muda mrefu inasemekana kwamba Rapid diagnostic Test especially Kwa wanao Pima HIV not detected bado ijawaa published brother watu wapo kwenye tafitiUKIMWI - syndrome / condition / damage
VVU - micro organism
See the difference?
Hiko kipimo virus akiwepo mwilini na haleti shida, like kwa mtu ambaye ni career hakiwezi detect kitu. Ila vita ya mwili na kirusi ikianza ndo kinaweza detect. Na kwanza kuna baadhi ya watu wanaotumia ARV hiko kipimo hakiwezi kutoa majibu sahihi
Mkuu njia nzuri ya kuthibitisha tafuta mtu mwenye umeme halafu pita naye peku mara kadhaa tulia kwa siku 28 au zaidi halagu rudi hapa utuambie umeona nini.Naelewa vzr sana tofauti ya HIV na VVU pia tambua kuna aina nyingi za ukimwi
Mkuu umejib kitaalam Sana.Umechanganya kidogo mkuu! Hiki ni kipimo cha VVU (HIV) kinachojikita kuangalia kama wale walinzi wanaopambana na HIV (Antigens) tayari wametengenezwa mwilini, hivyo kumaanisha kwamba mwili unaopimwa tayari umeshaingiliwa na virusi hivyo. Kipimo kinachopima UKIMWI (Ukosefu wa Kinga Mwilini) huwa kinaangazia kiasi /idadi ya CD4 (CD4 Count) ambazo ndio seli zinazotumika kuzalisha walinzi wa mwili (ulinzi wa jumla) na ndio hizo hizo ambazo huangamizwa na HIV (VVU) na kupelekea mwili kukosa kinga na hivyo kuwa dhaifu kiasi cha kushambuliwa na magonjwa nyemelezi (haya ndio hupelekea kifo kwa mwenye UKIMWI).
Acha ubishi anza kumeza ARV ulizopewa na daktari, ukiendelea kuwa mkaidi utatamani ufe halafu haitawezekana huo ugonjwa utakusurubu mpaka nukta ya mwisho.Vipimo hivi havipimi virusi hata mmoja wa HIV-VVU na haitakuja kutokea hata siku moja kipimo hiki kikaacha kupima kinga za mwili na kikawa cha VVU hila hilo halipo kamwe na haitakuja kutokea, daima Elimu duni watu wanaamini kuwa kipimo hiki ni cha UKIMWI sio kweli hata watu wanadanganywa hadi Leo.View attachment 917901
Unaonekana umevuta bangi sasa nani aliyekwambia amepima akapata majibu kwamba yupo Postive au kwa sababu wewe tayari umeathirika basi unajua na kila mtu ameathirika pole sanaAcha ubishi anza kumeza ARV ulizopewa na daktari, ukiendelea kuwa mkaidi utatamani ufe halafu haitawezekana huo ugonjwa utakusurubu mpaka nukta ya mwisho.
Hata mi nimepata wasiwasi sana juu ya hiloKwanza kwa kuandika kwako inanipa wasiwasi kama unajua tofauti ya VVU (HIV) na UKIMWI (AIDS) wewe
Unajua kuathirika ni jambo la kawaida sana siku izi usipende kufokea watu kwa vitu vya kawaida bhanaUnaonekana umevuta bangi sasa nani aliyekwambia amepima akapata majibu kwamba yupo Postive au kwa sababu wewe tayari umeathirika basi unajua na kila mtu ameathirika pole sana
Sasa nilichochanganya ni kipi? Antigen sio organism ni kemikali zinazotolewa na CD4 ili kukabiliana na virusiUmechanganya kidogo mkuu! Hiki ni kipimo cha VVU (HIV) kinachojikita kuangalia kama wale walinzi wanaopambana na HIV (Antigens) tayari wametengenezwa mwilini, hivyo kumaanisha kwamba mwili unaopimwa tayari umeshaingiliwa na virusi hivyo. Kipimo kinachopima UKIMWI (Ukosefu wa Kinga Mwilini) huwa kinaangazia kiasi /idadi ya CD4 (CD4 Count) ambazo ndio seli zinazotumika kuzalisha walinzi wa mwili (ulinzi wa jumla) na ndio hizo hizo ambazo huangamizwa na HIV (VVU) na kupelekea mwili kukosa kinga na hivyo kuwa dhaifu kiasi cha kushambuliwa na magonjwa nyemelezi (haya ndio hupelekea kifo kwa mwenye UKIMWI).
Kipimo hiko kina kemikali ambayo hureact na kemikali Antigen inayotolewa na CD4 ili kukabiliana na virusi vya UKIMWI. Sasa kama kwenye damu yako Antigen ipo ndio sasa itareact na kipimo hiko. Kuonesha kwamba mwili umeshatambua virusi vya ukimwi vipo. Usually mapambano yanaanza mapema sana kiasi kwamba kipindi hiko hata ukipima kiasi cha CD4 unaona kipo normalSasa mtu akiwa infected na HIV for 2 weeks or 3month ana develop AIDs ??
Ila virusi vya UKIMWI ni nyoko. Mwili unaweza pambana hadi ukashinda kabisa vita. Virusi vichache vinaingia kwene incubation vinakuwa non-living organisms. Havitoi viashiria vyovyote kuwa vinaishi. Na afya ya mwili inarudi. Hapa hata upime na nini, mtu hana UKIMWI wala VVU. Baadaye vinakuja kuamka tena vinakuhujumu. Kuna recorded cases za waatu kupona UKIMWI only to discover years later bado ni waathirika.Mtu akitumiaa ARV Kwa muda mrefu inasemekana kwamba Rapid diagnostic Test especially Kwa wanao Pima HIV not detected bado ijawaa published brother watu wapo kwenye tafiti