Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,281
- 79,891
Niwe tu mkweli, kwa ninavyojisikia hili wazo limenipitia mara kadhaa kwamba labda nitajisikia better.
Akija mtu na usiriazi anaweza kuniangusha (Mungu anitangulie). Nina hasiraa
😆😆😆
Yàani hata huyo atakayekuja atakewa na MICHEPUKO zaidi ya uliyenaye sasa.
Hapo ñdipo Jamie Kuzuka au Kunyoa
Au uombe Kadi ya uanachama Kwa dronedrake kaimu Mwenyekiti Kataa Ndoa
Huko kwèñye Chama cha Kataa Ndoa NI rasmi utakuwa kama Maharamia wanaoteka waume za Watu au wachumba za Watu na hautakuwa na Mali yako mwenyewe

