Nasema hivi, Mume anauma!

Nasema hivi, Mume anauma!

😅😅 usaliti unauma ila sio kwa kiwango cha zuri 😅😅 wengine mioyo ishapata ganzi, halafu hizo posa atalipia wangapi?

nachoona apambane na mumewe ameishi nae anamjua kuliko mchepuko bahati nyingine aliyonayo bwana bado anamfeel hapo kwenye kumuomba tamu ni wazi huyo dogo hajamteka kiivyo,
Mwambie anipe Chini aache kusingizia period isiyoisha kikomo period gani inaenda mpaka Mwezi?
 
Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni ngumu Sana
msichukulie poa nyie wanawake hatuwezi kuwa sana Kwenye matamanio ya kingono
japo Kuna wanaume wachache wanaweza kuwa na mwanamke mmoja.

NB:
ukiwa na mwanamke mmoja atakufanyia vitu ambavyo vitakufanya uongeze wanawake wengine.
 
Wacha kujidanganya tafuta suluhu ya tatizo na sio kuongeza matatizo..hata ukitiwa nje ila bado utakuwa stress tuu
 
Vp unataka kumuoa mkuu akiachika au na yeye akawe mchepuko wa waume za watu unapo mshauri mtu jambo mpe na njia ya kupita
 
Hakuna u best wa mwanamke na mwanaume mi kama mumeo nkijua nakupa taraka 3 tena best mwenyew ex wako kuna matatizo mnayatafuta wenyew badae mna kuja kutulilia huku
 
Kwanz nkupe honger coz umefany bonge la wonders na kutumia mind Ako vzr ingekuw wengne hpo Tyr mpak mda huu connection hko Tik Tok
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom