Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,881
- 183,194
Hawa watoro wanatupa kazi sana aisee! Inabidi tuweke faini sasa ili wawe wanahudhuria.We shauri ako, hatutaki vilio huku....vilio tumewaachia wanaume.
Kikao cha mwisho cha wanawake tulikubaliana hakuna kulilia dudu, nakumbuka haukuwepo.
Atoto mpe zuu samare