Nasari kupoteza ubunge wake kama Lema

Tetesi za uhakika kutoka ndani ya CCM ni kwamba kuna timu ya watu Tisa(9) wamepewa kazi ya kutafuta na kukusanya ushahidi wa maneno machafu yaliyotumika wakati wa kampeni, ili ifunguliwe kesi kupinga ushindi wa Nasari kwa madai kwamba mpinzani wake alisingiziwa kwamba ni shoga ilihali si kweli hivyo kupoteza mvuto kwa wapiga kura.

My take. Kama alivyodai mwana CCM mmoja kwamba nia yao kubwa siyo kwamba wanataka uchaguzi urudiwe ili washinde, nia yao kubwa ukiachilia mbali kwamba wanasahaulisha CHADEMA kujipanga namna ya kupambana ipatikane Katiba mpya iliyo bora pia ni kukifanya CHADEMA kiwe busy na masuala ya kesi na kutumia rasilimalizao chache zilizopo kughalamia michakato ya chaguzi ndogo ili ifikapo mwaka 2015 wasiwe na resources za kutosha kukabiliana na CCM.

Lakini wanatutia umasikini zaidi sisi watozwa kodi. Namuomba Mola awaangalie kwa jicho pembe 2015
 
Tetesi za uhakika kutoka ndani ya CCM ni kwamba kuna timu ya watu Tisa(9) wamepewa kazi ya kutafuta na kukusanya ushahidi wa maneno machafu yaliyotumika wakati wa kampeni, ili ifunguliwe kesi kupinga ushindi wa Nasari kwa madai kwamba mpinzani wake alisingiziwa kwamba ni shoga ilihali si kweli hivyo kupoteza mvuto kwa wapiga kura.

My take. Kama alivyodai mwana CCM mmoja kwamba nia yao kubwa siyo kwamba wanataka uchaguzi urudiwe ili washinde, nia yao kubwa ukiachilia mbali kwamba wanasahaulisha CHADEMA kujipanga namna ya kupambana ipatikane Katiba mpya iliyo bora pia ni kukifanya CHADEMA kiwe busy na masuala ya kesi na kutumia rasilimalizao chache zilizopo kughalamia michakato ya chaguzi ndogo ili ifikapo mwaka 2015 wasiwe na resources za kutosha kukabiliana na CCM.

Kwenye red. Kama ndivyo basi wana CDM na wanaoitakia mema CDM wachukulie huo mkakati kama chachu ya kuogeza na kuendelea kuichangia ili wasiishiwe na M4C ifanikiwe.
 
wamejifanya wamekubali kushindwa kumbe wanatafuta lao, waache mambo yao CCM hatuitaki tena.
ukishindwa kubali siyo unatafuta namna ya kushindana.
 
Kifo kinawaandama CCM, si unajua mfa maji haachi kutapatapa, kwa hiyo ni katika hali ya kujaribu kujiokoa wanajaribu kushika kila kinachokatiza mbele yao
 
Mimi ningewashauri CCM wafanye hivi, badala ya kutafuta jimbo moja moja, watangaze uchaguzi mkuu kesho ili wananchi tumalize haya mashauri maisha yaende mbele. Sasa hivi serikali ya ccm imesahau kuongoza nchi kazi wanayofanya ni kuwinda chaguzi. Futa kila kitu & let's have general elections.
 
Ninawachukia sana CCM
 
Miaka mitatu ijayo watu tutakuwa tunapiga stori kuwa zamani kulikuwa na chama cha siasa kilikuwa kinaitwa ccm.
itakuwa stori tu
 
chadema sawasawa wananchi sawasawa chadema.hvyo watakuwa wanawapa wananchi jazba na kuichukia ccm kwa kuwa sumbua
 
Tetesi za uhakika kutoka ndani ya CCM ni kwamba kuna timu ya watu Tisa(9) wamepewa kazi ya kutafuta na kukusanya ushahidi wa maneno machafu yaliyotumika wakati wa kampeni, ili ifunguliwe kesi kupinga ushindi wa Nasari kwa madai kwamba mpinzani wake alisingiziwa kwamba ni shoga ilihali si kweli hivyo kupoteza mvuto kwa wapiga kura.

My take. Kama alivyodai mwana CCM mmoja kwamba nia yao kubwa siyo kwamba wanataka uchaguzi urudiwe ili washinde, nia yao kubwa ukiachilia mbali kwamba wanasahaulisha CHADEMA kujipanga namna ya kupambana ipatikane Katiba mpya iliyo bora pia ni kukifanya CHADEMA kiwe busy na masuala ya kesi na kutumia rasilimalizao chache zilizopo kughalamia michakato ya chaguzi ndogo ili ifikapo mwaka 2015 wasiwe na resources za kutosha kukabiliana na CCM.

Ninacho wapenda ccm wanamipango mifupi muno hawakumbuki zito kapewa umalufu kwaujinga wao mzee6 bungeni hata imipango nikuwasafishia cdm njia wanao ongezeka kuichukia ccm niwengi kwa mipango yao mibovu
 
Tetesi za uhakika kutoka ndani ya CCM ni kwamba kuna timu ya watu Tisa(9) wamepewa kazi ya kutafuta na kukusanya ushahidi wa maneno machafu yaliyotumika wakati wa kampeni, ili ifunguliwe kesi kupinga ushindi wa Nasari kwa madai kwamba mpinzani wake alisingiziwa kwamba ni shoga ilihali si kweli hivyo kupoteza mvuto kwa wapiga kura.

My take. Kama alivyodai mwana CCM mmoja kwamba nia yao kubwa siyo kwamba wanataka uchaguzi urudiwe ili washinde, nia yao kubwa ukiachilia mbali kwamba wanasahaulisha CHADEMA kujipanga namna ya kupambana ipatikane Katiba mpya iliyo bora pia ni kukifanya CHADEMA kiwe busy na masuala ya kesi na kutumia rasilimalizao chache zilizopo kughalamia michakato ya chaguzi ndogo ili ifikapo mwaka 2015 wasiwe na resources za kutosha kukabiliana na CCM.

age ain't nothing but a number!! Haijalishi wana miaka mingapi ktk siasa za Bongo, kwani hao ccmfsdi wana nini? Kiama chao ni 2015......Bila kujali fitna zao zozote washapotea hao. ccm ni kama kanu ya kwa kibaki kwishnei.
 
Hivi Mbona nasikia CCM na wakina Lusinde ndiyo wametukana sasa hiyo kesi ya kutukana itakuwa vipi wakati watu wana video za CCM wanatukana.
 
Shida mbona hakuna,waache wafanye chochote kile lakini mabadiliko nchini ni lazima.Resources ya CDM ni nguvu ya umma,anguko la CCM halina tofauti na anguko la mfalme Nekabudreza,alihofia ndoto aliyotabiriwa na Daniel lakini mwisho wa siku alidondokea pua.Haki ya watanzania kamwe haitaombwa kama kipande cha mkate,tutaichukua kwa nguvu bila kujali gharama yake.Kwani gharama ya dhuluma ni upanga wa moto.
 
Back
Top Bottom