samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
Wapuuzi wakubwa hawandio wanao fuja pesa za walalahoi wanao vuja jasho juu ya taifa hili masikini.viva chadema
Tetesi za uhakika kutoka ndani ya CCM ni kwamba kuna timu ya watu Tisa(9) wamepewa kazi ya kutafuta na kukusanya ushahidi wa maneno machafu yaliyotumika wakati wa kampeni, ili ifunguliwe kesi kupinga ushindi wa Nasari kwa madai kwamba mpinzani wake alisingiziwa kwamba ni shoga ilihali si kweli hivyo kupoteza mvuto kwa wapiga kura.
My take. Kama alivyodai mwana CCM mmoja kwamba nia yao kubwa siyo kwamba wanataka uchaguzi urudiwe ili washinde, nia yao kubwa ukiachilia mbali kwamba wanasahaulisha CHADEMA kujipanga namna ya kupambana ipatikane Katiba mpya iliyo bora pia ni kukifanya CHADEMA kiwe busy na masuala ya kesi na kutumia rasilimalizao chache zilizopo kughalamia michakato ya chaguzi ndogo ili ifikapo mwaka 2015 wasiwe na resources za kutosha kukabiliana na CCM.
CHADEMA kinapokuwa busy ndo kinaongeza mvuto na kupendwa zaidi na wananchi. Rasilimali kuu ya CDM ni watu (nguvu ya umma) na kadri muda unavyokwenda ndo inazidi kuongezeka. Kama Wanawaza hivyo wanasumbua na kuzidi kukera wananchi.
Tetesi za uhakika kutoka ndani ya CCM ni kwamba kuna timu ya watu Tisa(9) wamepewa kazi ya kutafuta na kukusanya ushahidi wa maneno machafu yaliyotumika wakati wa kampeni, ili ifunguliwe kesi kupinga ushindi wa Nasari kwa madai kwamba mpinzani wake alisingiziwa kwamba ni shoga ilihali si kweli hivyo kupoteza mvuto kwa wapiga kura.
My take. Kama alivyodai mwana CCM mmoja kwamba nia yao kubwa siyo kwamba wanataka uchaguzi urudiwe ili washinde, nia yao kubwa ukiachilia mbali kwamba wanasahaulisha CHADEMA kujipanga namna ya kupambana ipatikane Katiba mpya iliyo bora pia ni kukifanya CHADEMA kiwe busy na masuala ya kesi na kutumia rasilimalizao chache zilizopo kughalamia michakato ya chaguzi ndogo ili ifikapo mwaka 2015 wasiwe na resources za kutosha kukabiliana na CCM.
toeni upumbavu hapa.Tetesi za uhakika kutoka ndani ya CCM ni kwamba kuna timu ya watu Tisa(9) wamepewa kazi ya kutafuta na kukusanya ushahidi wa maneno machafu yaliyotumika wakati wa kampeni, ili ifunguliwe kesi kupinga ushindi wa Nasari kwa madai kwamba mpinzani wake alisingiziwa kwamba ni shoga ilihali si kweli hivyo kupoteza mvuto kwa wapiga kura.
My take. Kama alivyodai mwana CCM mmoja kwamba nia yao kubwa siyo kwamba wanataka uchaguzi urudiwe ili washinde, nia yao kubwa ukiachilia mbali kwamba wanasahaulisha CHADEMA kujipanga namna ya kupambana ipatikane Katiba mpya iliyo bora pia ni kukifanya CHADEMA kiwe busy na masuala ya kesi na kutumia rasilimalizao chache zilizopo kughalamia michakato ya chaguzi ndogo ili ifikapo mwaka 2015 wasiwe na resources za kutosha kukabiliana na CCM.
hawatapata kitu hapo. nasarri yeye binafsi hajawahi kuongea lugha ya matusi kama ni hilo imekula kwao ccm.[/QU wakumbuke kuwa unapomnyooshea kidole m2 vi3 vinakurudia km vp waanze na lusinde!
Ccm wanatapatapa ni sawa na mfamaji, wao wanatakiwa
wajiulize kwanini hawana mvuto kwa wananchi wake huu sio
wakati wa kuangaika na Chadema.
CHADEMA ni taasisi iliyokamili INASHAMBULIA NA KUKABA ondoa
shaka na mipango ya maji taka ya ccm