Nasari kugombea tena Arumeru Mashariki -CDM

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
Joshua Nassari ameonyesha nia ya dhati ya kujitosa tena kwenye sakata la ubunge Arumeru Mashariki,akiongea kutoka Washington amesema yuko US lakini anafanya kazi kubwa jimboni kwake na amesikitishwa na msiba wa mzee Jeremia

Ila nia yake ni kulinyakua jimbo na kuwapa watanzania maisha mema na ya matumaini.

Rafiki yake wakaribu Godbless Lema amesema ni mapema sana kulizungumzia hilo kwani Chama ndio chenye maamuzi

JE CDM WATAMPA TENA NASSARI??maana nasikia CDM wanampango wa kumteua Daktari Wilibroad Petter Slaa agombee ubunge Arumeru Mashariki
 
CDM msiwe na uchu wa madaraka, subirini kwanza Tume ya uchaguzi ifanye kazi yake. Sitegemei pia kumwona Slaa anachia posho ya 7m plus 600k per diem za maandamano kwa ajili ya kwenda kugombea ubunge wa Arumeru!
 
Omba kifo kicguse MP wa CCM... Hata useme,na utasema sana tu HAKI YA CDM ITAPATIKANA LIKIWAMO JIMBO HILO..
 
Joshua Nassari ameonyesha nia ya dhati ya kujitosa tena kwenye sakata la ubunge Arumeru Mashariki,akiongea kutoka Washington amesema yuko US lakini anafanya kazi kubwa jimboni kwake na amesikitishwa na msiba wa mzee Jeremia

Ila nia yake ni kulinyakua jimbo na kuwapa watanzania maisha mema na ya matumaini.

Rafiki yake wakaribu Godbless Lema amesema ni mapema sana kulizungumzia hilo kwani Chama ndio chenye maamuzi

JE CDM WATAMPA TENA NASSARI??maana nasikia CDM wanampango wa kumteua Daktari Wilibroad Petter Slaa agombee ubunge Arumeru Mashariki
Huyu dogo tumemwambia arudi haraka kuanza harakati kugombea au kuchukua jimbo la ARumeru Mashariki, itakuwa kama kuangusha mlevi !!!!!!!CCM wanajua kuwa huko wamuchoka mbaya, na wewe aliyekwambia kuwa Dr Slaa atagombea hilo jimbo ni nani, Dr anasimamia kujenga chama, kwa wakati ujao muafaka atatumbukia tena!!!!!!!!!!!

CDM msiwe na uchu wa madaraka, subirini kwanza Tume ya uchaguzi ifanye kazi yake. Sitegemei pia kumwona Slaa anachia posho ya 7m plus 600k per diem za maandamano kwa ajili ya kwenda kugombea ubunge wa Arumeru!
Mods wekeni kitufe cha dislike!!!!!!!!!!! Rejao hujambo????????
 
Mods wekeni kitufe cha dislike!!!!!!!!!!! Rejao hujambo????????
Huyo dogo wenu kama 2010 alishindwa kwa kura nyingi kiasi kile..unategemea nini tena kwa sasa? Mtafuteni mtu mwingine angalau competition iwe kubwa!
 
Nadhani Chadema huwa wanamsikia tu Lowassa! sasa subirini akawanyooshe vizuri huko ndio mtashika adabu.:A S embarassed:
 
Huyo kijana wa watu mngemshauri tu aendelee na ayafanyayo huko Washington as he knows better than anybody else chaguzi pamoja na Campaign za Arumeru Mashariki hazifanyiki via JF hufanywa chini ya Mringaringa haijalishi kuna wasomi kiasi gani Meru msimamo wao hauwezi kubadilishwa na mtu awaye yeyote ndo maana alipata hizo asilimia alizozipata pamoja na kuwa Marehemu hakufanya Campaign.

Ukianzia Songoro shuka Mulala mpaka Akheri, Tengeru, Nkoaranga, Makumira, Poli, Nkoanekoli, Jua Kali, Momela, Usa River, Maji ya Chai, Katiti, King'ori, Leguruki, Ngarenanyuki etc wale wazee ni hatari sana.... Sasa sisi vijana tukijifanya kumshawishi Nassari aende eti tu kwa sababu CDM kinakubalika bado tunakosea we unakaa Washington expecting kugombea Arumeru Mashariki labda aseme alijitahidi vipi kuweka uhusiano mzuri kati yake ama na Wazee au wahusika wa jimbo hilo................. Vinginevyo CDM watazame mtu mwingine mbadala sisi ndio tutakao waambia lile Jimbo ni gumu mno tofauti na watu mnavyozungumzia. Na tatizo jingine la Nassari ni waluwalu hana subiri unaongea mpaka anapitiliza he ought to be gentle, and wise.

Under no circumstances should CDM try kumpatia hiyo nafasi Joshua........... Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom