Nasari kugombea tena Arumeru Mashariki -CDM

Duuh,
Wakati wa kampeni Arumeru Mashariki kujaza nafasi ya Hayati Sumari .... RIP, kama naona mpambano wa wakuu wa kampeni vile ...
Huku Lowassa na pale Lema ........... Ngoma nzito.
Tusubiri tuone.
 
Joshua Nassari ameonyesha nia ya dhati ya kujitosa tena kwenye sakata la ubunge Arumeru Mashariki,akiongea kutoka Washington amesema yuko US lakini anafanya kazi kubwa jimboni kwake na amesikitishwa na msiba wa mzee Jeremia

Ila nia yake ni kulinyakua jimbo na kuwapa watanzania maisha mema na ya matumaini.

Rafiki yake wakaribu Godbless Lema amesema ni mapema sana kulizungumzia hilo kwani Chama ndio chenye maamuzi

JE CDM WATAMPA TENA NASSARI??maana nasikia CDM wanampango wa kumteua Daktari Wilibroad Petter Slaa agombee ubunge Arumeru Mashariki

acha umbea,andika kituy ambacho unauhakika nacho sio cha kusikia
 
Huyo dogo wenu kama 2010 alishindwa kwa kura nyingi kiasi kile..unategemea nini tena kwa sasa? Mtafuteni mtu mwingine angalau competition iwe kubwa!
Mkuu Rejao tulia safari hii hamchomoi , kuhonga maagenti hakuna, kuchelewesha muda wa kutangaza hakuna unajua jinsi Wameru walivyo fyatu, hesabu za kijizi hakuna!!!!!!!!!! Mnajua kabisa ushindi wenu ulikuwa wa kuchakachua kama asemavyo mkulu wa kaya, nawasikitikia mmekwisha Arumeru!!!!

Huyo dogo wenu kama 2010 alishindwa kwa kura nyingi kiasi kile..unategemea nini tena kwa sasa? Mtafuteni mtu mwingine angalau competition iwe kubwa!

Hivi una kumbu kumbu nzuri wewe kweli? Igunga 2010 tulimsimamisha nani? Bado haujui CDM ilishinda ila Magamba mlifanya hujuma? Endelea kuzubaa hivyohivyo
 
Mkuu Rejao tulia safari hii hamchomoi , kuhonga maagenti hakuna, kuchelewesha muda wa kutangaza hakuna unajua jinsi Wameru walivyo fyatu, hesabu za kijizi hakuna!!!!!!!!!! Mnajua kabisa ushindi wenu ulikuwa wa kuchakachua kama asemavyo mkulu wa kaya, nawasikitikia mmekwisha Arumeru!!!!

WAMERU!! Bila haki, najua migomba itapata shida!
 
Hii thread itatakiwa kuondolewa. Heading inaonesha ni tamko la cdm, content ni story ya mtu!

Mods tuondoleeni huu ujinga unaowekwa humu jukwaani na akina Rejao na MS ili kutafuta namna ya kuwakashifu cdm! Upuuzi mtupu!

Kuna thread za maana zikitumwa hamziweki jukwaani lakini nashangaa thread kama hizi, hazina source, sio tetesi mnaziweka humu wakati kuna jukwaa la udaku!?
 
CDM msiwe na uchu wa madaraka, subirini kwanza Tume ya uchaguzi ifanye kazi yake. Sitegemei pia kumwona Slaa anachia posho ya 7m plus 600k per diem za maandamano kwa ajili ya kwenda kugombea ubunge wa Arumeru!

na we vipi?unaihusisha vipi huu udaku wa m jf na Cdm? CDM hawajasema lolote kwa kuwa wako makini sana
 
Hii thread itatakiwa kuondolewa. Heading inaonesha ni tamko la cdm, content ni story ya mtu!

Mods tuondoleeni huu ujinga unaowekwa humu jukwaani na akina Rejao na MS ili kutafuta namna ya kuwakashifu cdm! Upuuzi mtupu!

Kuna thread za maana zikitumwa hamziweki jukwaani lakini nashangaa thread kama hizi, hazina source, sio tetesi mnaziweka humu wakati kuna jukwaa la udaku!?
Kwanza tutake radhi...sisi sio tuliyoileta hii thread.
Ukifuatilia kwa makini, hamna sehemu yoyote nimeikashif CDM
Mwisho kabisa, JF ndio source ya habari nyingi...hata hizo unazozisoma magazetini, nyingi huwa zinaanzia hapa!
 
cdm msiwe na uchu wa madaraka, subirini kwanza tume ya uchaguzi ifanye kazi yake. Sitegemei pia kumwona slaa anachia posho ya 7m plus 600k per diem za maandamano kwa ajili ya kwenda kugombea ubunge wa arumeru!

nenda kapige mswaki
 
Mkuu Rejao tulia safari hii hamchomoi , kuhonga maagenti hakuna, kuchelewesha muda wa kutangaza hakuna unajua jinsi Wameru walivyo fyatu, hesabu za kijizi hakuna!!!!!!!!!! Mnajua kabisa ushindi wenu ulikuwa wa kuchakachua kama asemavyo mkulu wa kaya, nawasikitikia mmekwisha Arumeru!!!!

Hata Igunga mlisema hivi hivi.
 
Huyo kijana wa watu mngemshauri tu aendelee na ayafanyayo huko Washington as he knows better than anybody else chaguzi pamoja na Campaign za Arumeru Mashariki hazifanyiki via JF hufanywa chini ya Mringaringa haijalishi kuna wasomi kiasi gani Meru msimamo wao hauwezi kubadilishwa na mtu awaye yeyote ndo maana alipata hizo asilimia alizozipata pamoja na kuwa Marehemu hakufanya Campaign.

Ukianzia Songoro shuka Mulala mpaka Akheri, Tengeru, Nkoaranga, Makumira, Poli, Nkoanekoli, Jua Kali, Momela, Usa River, Maji ya Chai, Katiti, King'ori, Leguruki, Ngarenanyuki etc wale wazee ni hatari sana.... Sasa sisi vijana tukijifanya kumshawishi Nassari aende eti tu kwa sababu CDM kinakubalika bado tunakosea we unakaa Washington expecting kugombea Arumeru Mashariki labda aseme alijitahidi vipi kuweka uhusiano mzuri kati yake ama na Wazee au wahusika wa jimbo hilo................. Vinginevyo CDM watazame mtu mwingine mbadala sisi ndio tutakao waambia lile Jimbo ni gumu mno tofauti na watu mnavyozungumzia. Na tatizo jingine la Nassari ni waluwalu hana subiri unaongea mpaka anapitiliza he ought to be gentle, and wise.

Under no circumstances should CDM try kumpatia hiyo nafasi Joshua........... Ni hayo tu

Pale Pale chini ya mringa ringa wa Poli Barazani wameru wameikataa CCM, vijana kwa wazee(washili).

Na kwa bahati mbaya hata kumbukumbu ya Shamba lao la kujenga shule kuporwa na Kimaro haijaisha, walidai shamba lao wakapigwa virungu, wakawekwa kituoni Usa-River kisa Mwakilishi wa CCM bwana Kimaro anataka shamba, halafu awaamishie wameru kilindi.

Bado hawajasaahau juzi watoto wao walivyopigwa mabom na virungu pale Makumira Tumaini University, na Leo wamepewa ajira wanne tu kati ya wahitimu zaidi ya 200.

Hawajasahau ajira za AFGEM walizozistahili wana arumeru tena kwa kuhadiwa ila zikapewa wageni kutoka Dar Es Salaam kipindi muheshimiwa ni naibu waziri.

East Meru shida ni mingi na wananchi tunazijua sasa, pia Washili wanazijua.

CCM Arumeru Mshariki manikosa kwa uzembe wenu wenyewe.

Pumzika Kwa Amani Mbunge
 
so mlvosikia ndo mkachakachua?.
Hii ndio hasara ya CDM...huwa hamkubali kushindwa!
Kumbuka CDM wote walihamishia kambi yao Igunga...sielewi huo uchakachuzi ulifanyika vipi.
BTW, huwa mnasusaa halafu baadaye mnajipeleka Ikulu kucheka cheka!!
 
kunamambo mengi nahtaji nkufahamishe ile kukufanya uwe na fikra sahihi juu ya CDM, Kwa sababu hoja unazo nena hazina mashiko mkuu!
Mtaaibika arumeru! Tuombe uzima tu!
 
Hii ndio hasara ya CDM...huwa hamkubali kushindwa!
Kumbuka CDM wote walihamishia kambi yao Igunga...sielewi huo uchakachuzi ulifanyika vipi.
BTW, huwa mnasusaa halafu baadaye mnajipeleka Ikulu kucheka cheka!!

pia unaposema pale ikulu tunabaki kucheka cheka sikuelewi, sababu kila mmoja amjua fika mzee wa kucheka {jk} alienda kupiga picha na 50cent Usa!
 
Huyo kijana wa watu mngemshauri tu aendelee na ayafanyayo huko Washington as he knows better than anybody else chaguzi pamoja na Campaign za Arumeru Mashariki hazifanyiki via JF hufanywa chini ya Mringaringa haijalishi kuna wasomi kiasi gani Meru msimamo wao hauwezi kubadilishwa na mtu awaye yeyote ndo maana alipata hizo asilimia alizozipata pamoja na kuwa Marehemu hakufanya Campaign. Ukianzia Songoro shuka Mulala mpaka Akheri, Tengeru, Nkoaranga, Makumira, Poli, Nkoanekoli, Jua Kali, Momela, Usa River, Maji ya Chai, Katiti, King'ori, Leguruki, Ngarenanyuki etc wale wazee ni hatari sana.... Sasa sisi vijana tukijifanya kumshawishi Nassari aende eti tu kwa sababu CDM kinakubalika bado tunakosea we unakaa Washington expecting kugombea Arumeru Mashariki labda aseme alijitahidi vipi kuweka uhusiano mzuri kati yake ama na Wazee au wahusika wa jimbo hilo................. Vinginevyo CDM watazame mtu mwingine mbadala sisi ndio tutakao waambia lile Jimbo ni gumu mno tofauti na watu mnavyozungumzia. Na tatizo jingine la Nassari ni waluwalu hana subiri unaongea mpaka anapitiliza he ought to be gentle, and wise. Under no circumstances should CDM try kumpatia hiyo nafasi Joshua........... Ni hayo tu

Naree nsuri!!!!
La muhimu ni CDM kumteua mtu makini atakayeweza kutatua matatizo ya wana arumeru likiwemo swala la fluoride ambalo limeathiri kata za maji ya chai,kikatiti,Imbaseni,king'ori, na leguruki
 
Back
Top Bottom