Nasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!
hakyamungu nini sasa?? Unatetemeka hata saa kumi bado?? Komaa mtoto wa kiume, acha ushabiki wa kienyeji.
Nasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!
kibao kimegeuka, lolYamebaki masaa machache tusikie kauli hizi, "wameiba kuraa!" "kamanda tusikubali mpaka kieleweke" "mwisho wao 2015"
hii ni kwasababu kuna udhaifu mkubwa umeanza kujionesha upande mmoja wa mapambano!
Nasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!
hahahaaa, bado umelala, eti? amka utupatie updates za matokeoNasari aende bungeni? Mnachekesha nyie!! Mfarijini na mumsaidie namna ya kurudisha madeni aliyokopa kwa ajili ya kampein! Otherwise tunaweza tukampoteza kwa presha baada ya kutangazwa kuwa kushindwa kwa asilimia kubwa sana!!