Nasalimiwa na watu wakubwa kulikoni?

Nasalimiwa na watu wakubwa kulikoni?

Ninacho jua una mwili wa heshima .siyo kamwili kama tumbili wasikutishe kufariki
 
ila kuamkiwa na mijitu mizima inakela,unakuta jitu linakuamkia linakunja hadi goti
 
....Simple. Unaonekana Mzee kuliko wao! Jicheki kwenye Kioo![emoji16][emoji16]
 
Ushaanza kuzeeka hivyoo[emoji41]
Habari wana gt.

Nikipita mtaani kazini au sehemu yoyote najikuta napokea salamu Kwa wadogo na baadhi ya watu wazima walionizidi umri wananiamkia.

Cha ajabu sina cheo sina pesa za kutisha wala cheo cha hadhi yoyote.Mpaka najistukia kusalimiwa na wakubwa.Hii ina maana gani wadau.[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yanazeesha mkuu, ni sawa na mmea kukomaa kabla ya muda wake kutokana na jua kali
 
Mkuu yawezakana uliwagawia boga[emoji51]
Habari wana gt.

Nikipita mtaani kazini au sehemu yoyote najikuta napokea salamu Kwa wadogo na baadhi ya watu wazima walionizidi umri wananiamkia.

Cha ajabu sina cheo sina pesa za kutisha wala cheo cha hadhi yoyote.Mpaka najistukia kusalimiwa na wakubwa.Hii ina maana gani wadau.[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana gt.

Nikipita mtaani kazini au sehemu yoyote najikuta napokea salamu Kwa wadogo na baadhi ya watu wazima walionizidi umri wananiamkia.

Cha ajabu sina cheo sina pesa za kutisha wala cheo cha hadhi yoyote.Mpaka najistukia kusalimiwa na wakubwa.Hii ina maana gani wadau.[emoji41]
Kama wewe ni mwanamke ujue umechina. Wanakusalimia kukuumbua maana unavaa viguo visivyoendana na muonekano wako.
Acha kuvaa mawigi na visuali vya kubana. Acha kwenda sehemu wanazokwenda vijana
 
Watoto ndio viumbe pekee wanaona mtu anavyozeeka ,maana wanaanzaga shikamoo kaka baada ya muda inabadilika inakuwa shikamoo baba ujakaa vizuri utasikia shikamoo babu hahahaa ujue ndio umeshazeeka

Na ukipanda mwendo kasi ukimpiga mtu kikumbo utasikia halafu nyie wazee wengine sijui vipi au haujapiga menyu

Mjomba muda unaenda kasi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una hulka ya Kuheshimiwa, Kutukuzwa na ushawishi mkubwa.

Mimi kwa upande wangu hata 30 siijui lakini nasalimiwa na watu wakubwa wenye umri zaidi ya 50.

Nikifika sehemu yenye mikutano au vikao napishwa siti hata na watu wazima kuliko mimi.

Utasikia wakisema; Karibu mheshimiwa. Mara kumbe nawe upo kiongozi.

Au nikiwa ninapita utasikia; Mheshimiwa samahani, kuna swali tunataka tukuulize. Samahani lakini.

Au utasikia; Ati kiongozi wewe unasemaje kuhusiana na kile kinachoendelea nchini.


Kwa ufupi hilo nimelizoea tokea nikiwa shule. Nimezoea kuheshimiwa. Kusuluhisha migogoro mikubwa.

Kwa muonekano bado ni kijana mdogo kabisa ambaye hata ndevu hazijachanganya.

Kwa wanaonijua humu wataungana na mimi katika hili.


Labda niseme tuu kuwa; Kuna watu wameumbwa kuheshimiwa hata wasipokuwa na pesa au hadhi yoyote.

Pia kuna watu wameumbwa kudharaulika hata wawe na hadhi au cheo chochote kama sio pesa.
 
Back
Top Bottom