Habari wana gt.
Nikipita mtaani kazini au sehemu yoyote najikuta napokea salamu Kwa wadogo na baadhi ya watu wazima walionizidi umri wananiamkia.
Cha ajabu sina cheo sina pesa za kutisha wala cheo cha hadhi yoyote.Mpaka najistukia kusalimiwa na wakubwa.Hii ina maana gani wadau.[emoji41]
Shikamoo kakaHabari wana gt.
Nikipita mtaani kazini au sehemu yoyote najikuta napokea salamu Kwa wadogo na baadhi ya watu wazima walionizidi umri wananiamkia.
Cha ajabu sina cheo sina pesa za kutisha wala cheo cha hadhi yoyote.Mpaka najistukia kusalimiwa na wakubwa.Hii ina maana gani wadau.[emoji41]
Jibu liko kwenye profile yako, " umaskini bwana" umaskini na ugumu wa maisha ulionao vimekufanya uonekane mzee!Habari wana gt.
Nikipita mtaani kazini au sehemu yoyote najikuta napokea salamu Kwa wadogo na baadhi ya watu wazima walionizidi umri wananiamkia.
Cha ajabu sina cheo sina pesa za kutisha wala cheo cha hadhi yoyote.Mpaka najistukia kusalimiwa na wakubwa.Hii ina maana gani wadau.[emoji41]
Mtu una sura kama ya Bushman unategemea nn?Habari wana gt.
Nikipita mtaani kazini au sehemu yoyote najikuta napokea salamu Kwa wadogo na baadhi ya watu wazima walionizidi umri wananiamkia.
Cha ajabu sina cheo sina pesa za kutisha wala cheo cha hadhi yoyote.Mpaka najistukia kusalimiwa na wakubwa.Hii ina maana gani wadau.[emoji41]
Mavazi yangu ya kiujana kabisa navaa raba na modo[emoji41]
Au mkeo mrembo Sana😀😀😀Habari wana gt.