Si mumeambiwa na jk kuwa kaanzisha ajira zaidi ya million moja na kura mkampa dahhh watz tunadanganyika? Unaweza pata habari za ajila angalia brightmonday.com.peleka cv yako manpower,rederrecruitment ingawa hawa wasanii sana wanakufanyisha interview kibao kazi hakuna. Koma kijana maisha ni safari ndefu usikate tamaa kuwa na imani kuwa siku yako bado ikifika utapata.