Nasaka ajira wakuu- msaada tafadhali


quimby_joey

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
361
Likes
24
Points
35

quimby_joey

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
361 24 35
nina Degree ya sheria kutoka univ. ya Tumaini 2008 pamoja na Post Graduate Diploma in Legal Practice 2010 inayotolewa na Law School of Tanzania. Msaada wenu wanajamii mtaani ni kugumu.
 

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
943
Likes
1
Points
0

KIBE

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
943 1 0
Si mumeambiwa na jk kuwa kaanzisha ajira zaidi ya million moja na kura mkampa dahhh watz tunadanganyika? Unaweza pata habari za ajila angalia brightmonday.com.peleka cv yako manpower,rederrecruitment ingawa hawa wasanii sana wanakufanyisha interview kibao kazi hakuna. Koma kijana maisha ni safari ndefu usikate tamaa kuwa na imani kuwa siku yako bado ikifika utapata.
 

quimby_joey

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
361
Likes
24
Points
35

quimby_joey

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
361 24 35
Asanteni wanajamvi kwa msaada wenu ingawa bado sijafanikiwa lakini naamini siku isiyo na jina inakuja ambayo nami nitakuwa enrolled kwenye hizi TGS. hkiziru amenipa ushauri wa kuweka namba yangu ya simu nimeona ni ushauri mzuri.....namba yangu ni 0763 901 445/ 0718 009 307. Tusaidiane wanandugu endapo mtaona au kuskia post yoyote tutaarifiane.
 

Forum statistics

Threads 1,204,005
Members 457,048
Posts 28,138,070