Nasaha za Kitila Mkumbo zimuendee Assad!


Hakunq kuomba radhi mbele ya ukweli. Wakiona wamedhihakiwa waachie ngazi. Lowasa mbona alikimbia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafiki huo.
Kwa wanasiasa inawezekana kuwa kweli lakini kwenye taaluma facts zinabakia kuwa facts tu hata uziweke kichwa chini miguu juu zitabakia kuwa hivyo tuu.
 
Unafiki huo.
Kwa wanasiasa inawezekana kuwa kweli lakini kwenye taaluma facts zinabakia kuwa facts tu hata uziweke kichwa chini miguu juu zitabakia kuwa hivyo tuu.
Facts zipo wapi..
give me a reference
 
Umesoma ripoti ya CAG???? ripoti ile inabakia kuwa fact hadi hapo itakapothibitishwa kuwa otherwise.
Ni ukurasa upi wa hiyo ripoti ulioanisha kuwa bunge ni dhaifu na limeshindwa kuisimamia Serikali
 
Uzuri prof Assad sio prof Mkumbo. Mchumia nchi si mchumia tumbo. Aombe msamaha kwa jambo ambalo hajasema? Mnataka awapigie magoti wala nchi wakati yeye ni mlinda nchi?
Ingekuwa vema sana kama wote wanaokwazwa na prof Assad wangejiuzulu.

Na wenzetu wa magharibi hufanya hivyo,mbona wao wanafik hawajiuzuru kuonyesha kuwa walichukizwa na hilo neno 'dhaifu'?
 

Mpumbavu huyu traitor!

Ni vizuri wakati unakula ukawa kimya,acha mashauzi na kujifanya unajua kujibu sana...
 
Report umeisoma na kuielewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemuelewa kitila mkumbo. Ila sikubakiane nae na suala la kuomba msamaha. CAG akaombe msamaha kwa kosa lipi hasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…