khaaa! Babu utafiti wenyewe umeufanyia chumbani tena kitandani!!Babu anarudi kitandani kuendelea na utafiti.
Here.......waitingAsprini .... Will be back afta a short break.... Khaaa!
yamenikuta ukiona hivyo LOL........... ukichanganya na hangover basi balaa tupu!hilo mbona linaeleweka, mtang'ang'aniana na mnajua mpo kwa ajili ya kupoozana baada ya hapo kila 1 na lake?..inaonekana una mning'inio bado.
Kwahyo unataka kusema wauza ndoms lazima wa do!Sasa kwani watu wanacheat wakiwa juu ya miti?
Waungwana, wakuu, wajukuu watiifu na watukutu, mashemeji, hommies, masharobaro, under 18 wa Love Connect mabibi na mabwana wa MMU....... Salam!
Ni hivi:....Straight to the point:
Kama wewe ni mke/mme wa mtu afu unafanya ubazazi wa kujamiiana na bazazi mwenzio ambaye anajua tayari una mme/mke, Leo nakutaarifu rasmi kuwa huyo bazazi naye anakucheat kwa bazazi mwingine na mwingine na mwingine na ikiwezekana na mwingine tena........ kuna anayebisha?
Unaporudi kwa mkeo/mmeo ujue kabisa huyo uliyefanya naye ubazazi naye anaenda kwa bazazi mwingine....... si anajua hamtaoana? Yanini ajigandishe kwako wakati kuna baridi na vijana wengi wana joto?
Huu ni utafiti nilioufanya mimi babu yenu na atakayenibishia lazima atakuwa na kasoro kwenye mshipa wake wa mahaba ubongoni.
Lengo la hii sredi ni kuwatahadharisha:
Kwakuwa infidelity inaonekana siku hizi imeshindikana kukwepeka
Kwakuwa watu hawana hofu ya Mungu kama zamani
Kwakuwa watoto wanawategemea wazazi kwenye malezi na kuwasomesha
Unapoamua kucheat kwa sababu ya ubazazi wako, basi cheat responsibly. UKIMWI upo na unaua!
Babu anarudi kitandani kuendelea na utafiti.
Tena hii sredi nimeidediketi kwako............ ngonoka responsibly binamu...... wajomba wanakutegemea ujue.
Sasa kwani watu wanacheat wakiwa juu ya miti?
babu jamani, bibi hataki utuulize maswali nyeti.Hapana namaanisha watu wawe waaminifu ila wakizidiwa na ubazazi wangonoke responsibly.........Hus, Ushawahi kutumia ndoms?
Waungwana, wakuu, wajukuu watiifu na watukutu, mashemeji, hommies, masharobaro, under 18 wa Love Connect mabibi na mabwana wa MMU....... Salam!
Ni hivi:....Straight to the point:
Kama wewe ni mke/mme wa mtu afu unafanya ubazazi wa kujamiiana na bazazi mwenzio ambaye anajua tayari una mme/mke, Leo nakutaarifu rasmi kuwa huyo bazazi naye anakucheat kwa bazazi mwingine na mwingine na mwingine na ikiwezekana na mwingine tena........ kuna anayebisha?
Unaporudi kwa mkeo/mmeo ujue kabisa huyo uliyefanya naye ubazazi naye anaenda kwa bazazi mwingine....... si anajua hamtaoana? Yanini ajigandishe kwako wakati kuna baridi na vijana wengi wana joto?
Huu ni utafiti nilioufanya mimi babu yenu na atakayenibishia lazima atakuwa na kasoro kwenye mshipa wake wa mahaba ubongoni.
Lengo la hii sredi ni kuwatahadharisha:
Kwakuwa infidelity inaonekana siku hizi imeshindikana kukwepeka
Kwakuwa watu hawana hofu ya Mungu kama zamani
Kwakuwa watoto wanawategemea wazazi kwenye malezi na kuwasomesha
Unapoamua kucheat kwa sababu ya ubazazi wako, basi cheat responsibly. UKIMWI upo na unaua!
Babu anarudi kitandani kuendelea na utafiti.
Ewaaa...... binti mzuri sana wee........ hili la mme/mke wa mtu kucheat na mme/mke wa mtu linahitaji sredi inayojitegemea......... Hii sredi illilenga zaidi kwa yale mabazazi yaliooa/kuolewa afu yanacheat na mabazazi ambayo hayajaolewa/oa.Shem nakupongeza kwa Thread hii nzuri ya kufundisha…. Naona mabusara yako yapo at work!
Nakubaliana na wewee…. But niko saana interested na hio bolded sentence… mimi naamini kabisa kama ni mke wa mtu una cheat na mume wa mtu, sidhani kama matarajio yenu yanakua kuoana… hapa nafikiri lazima kuna la ziada kama vile labda extra mpunga unaopata huko… au ni suala zima la 6/6… Sio kwamb a na support – ila imani yangu ni kua hao watu ndiio wale ambao tayari wamejizila na ndio hao hata Condoms hawatumii….
Tatizo ni pale ambae ni mdada single yupo na mkaka/mbaba mwenye ndoa yake akiamini ka yeye ndio yeye na kwamba hakuna kimada mwingine zaidi yake
BTW… Nini kilikupata … Juzi si ulisema you are spending the weekend with your family??
Kabla hujastaafu ulikuwa unangonoka responsibly? Haya kapime!hukutakiwa kuidadicate kwangu maana mimi singonoki, nimeshastaafu kwenye game. ila hii inakuhusu zaidi wewe na chama kubwa lako lol/
Najitahidi sana Keren........yakinishinda nangonoka responsibly........... wee mwenzetu vipi?hahahahahahah....khaaaa babu!!!!
baki to ze topik:
Hongera kwa kulijua hilo, kuwa hauko peke yako! Sasa si ni bora ukatulia tu na mama Matesha wako tu, ukaachana na hiyo network.......
Hizo nyeti ndo nazosema tuzitumie responsiblybabu jamani, bibi hataki utuulize maswali nyeti.
Karibu sana mkuu, unatumia kinywaji gani?well said swahiba.... Quito kuzuri sana na ninafuata usia wako
karibu sana
Ewaaa...... binti mzuri sana wee........ hili la mme/mke wa mtu kucheat na mme/mke wa mtu linahitaji sredi inayojitegemea......... Hii sredi illilenga zaidi kwa yale mabazazi yaliooa/kuolewa afu yanacheat na mabazazi ambayo hayajaolewa/oa.
Hiyo bold hapo............kukaa na familia wikiendi ndo kulinifanya nigundue hili jambo.... niliyoyaona mwenyewe nlichoka...khaaa!