Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Walisema kuanzia mwaka huu wanatumia rocket engines za kwao.Engine ni zake mwenyewe au bado anakodi?
Bwana Ellon Musk Ndio mwanadamu ametengeneza izo engine za Space XEngine ni zake mwenyewe au bado anakodi?
Zinaangukia baharini then zinakuarecovered na Meli halafu baadae zinakua refurbished zinatumika tena. Kumbuka kutengeneza hayo madude ni gharama sana.Hivi hizo parts zinazoachia na kubaki nyuma baada ya kufika uko juu huwa yanaanguka chini?
Na ana project yake ya Hyperloop. Huyu jamaa ni genius sanaBwana Ellon Musk Ndio mwanadamu ametengeneza izo engine za Space X
Huyu mmiliki wa Tweeter na Tesla motors
Elon ni "smart businessman" lakini sio "genius" kama Media inavyo muonyesha.Na ana project yake ya Hyperloop. Huyu jamaa ni genius sana
Usiwaze sana mwanangu, juu hakuna chochote cha maanaHuku kwetu africa bado tubahangaika kuhamasishana kujenga vyoo vya shule na wanaume kufanyiwa tohara.
Sawamwezi ni gaseous plasma, is non landable. Hakuna binadamu aliwahi kutua mwezini na haitatokea atue mwezini. Kama mtu bado unaamini eti wamarekani walitua mwezini, wewe ni mgonjwa wa akili na elimu uliyonayo haijakusaidia chochote. Ushahidi upo wazi hata kwa kugoogle tu utaupata.
moon landing was just a movie in a theater, Albert Brocoli alijaribu kuwaonyesha wanadamu kuwa moon landing was feki alipotengeneza james bond movie akaiiita Diamonds are forever (1971) mwanzoni mwa movie. Mazingira ya mwanzoni kabisa, he sent a message.
NASA is an instrument used to inflict fear and control the civilization.