Lengo nipate mwanga kwanza kutoka kwa watu wengine ,Hapo cha msingi umuulize baba yako, au ndugu zako wa karibu mfano wajomba au baba zako wakubwa! Maana hao ndio wanaifahamu historia ya familia zaid.
Hivi kuna MAKHAFIR wakubwa dunia hii zaidi ya WAISLAMU?Uislamu hauoi ndugu zako wa moja kwa moja, ambao ni dada zako, wengine ruksa! Wataobisha wanafuata taratibu za sisi 'MAKHAFIR' bila kujua!
SIJAKUELEWA ndungu. NIENDE nini?
Eeeh miaka nane mbona kawaida watu wanapishana mpaka miaka kumi,we endelea tu najua ulishamuanza...Mimi Nina UMRI Mkubwa, nimezidi karibia MIAKA 8.
NAHISI hujauelewa Kabisa HUO uhusiano. Kati YAO Hakuna Hata Mmoja ambaye ni damu ya #Mafudu.Hapo mtu unayeweza kuoa ni #Salima pekee (mke wa #Mafudu=mke wa Baba yako/mama mlezi).
Wengine wote wanaofuata ni nduguzako (Huwezi kuoa ) sababu wanabeba damu ya #Mafudu=Baba yako..
Umri wa nn sasawe na Asia nani ana umri mkubwa kuliko mwenzake
Kamuulize shekheNdugu ZANGU,
Naitwa #Udangu, Baba Yangu anaitwa #Mafudu,
Baba yangu ana Mke aitwaye #Salima (ambaye ni mama Yangu mlezi)
#Salima ana Dada Yake aitwaye #Fatima,
Na huyu #Fatima ana mtoto aitwaye #Faudhia.
Sasa huyu #Faudhia naye ana mtoto aitwaye #Asia.
Kwa mahusiano hayo hapo,
#Asia ni mjukuu wa Dada wa Mama Yangu mlezi.
Hoja Yangu ni kwamba,
Je,
Kidini (Ya Kiislam)
Kuna uhalali wa Mimi kumuoa #Asia?
Pia
Kijamii, hiyo Haina/ina tatizo lolote?
Nawasilisha.
Mimi Nina UMRI Mkubwa, nimezidi karibia MIAKA 8.
Mnaoana kama kawaida huyo, hayumo kwenye "mahrim" wako. Soma sura't Annisaai iko wazi kabisa walioharamishwa kwako:Ndugu ZANGU,
Naitwa Udangu, baba yangu anaitwa Mafudu, baba yangu ana mke aitwaye Salima ambaye ni mama yangu mlezi.
Salima ana dada yake aitwaye Fatima, na huyu Fatima ana mtoto aitwaye Faudhia.
Sasa huyu Faudhia naye ana mtoto aitwaye Asia.
Kwa mahusiano hayo hapo,#Asia ni mjukuu wa dada wa mama yangu mlezi.
Hoja yangu ni kwamba,
Je, Kidini (Ya Kiislam)
Kuna uhalali wa mimi kumuoa Asia?
Pia kijamii, hiyo haina/ina tatizo lolote?
Nawasilisha.
Kweli masheikh watakuja na majibu mazuri kwa swali lako.Mkuu hiyo chain uliyoitengeneza imeniacha hoi
anyway,Ngoja Mashekh waje sie wengine Maamuma..!