FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,799
Hauleweki hata hoja zako. Tanganyika mipaka yake inajulikana wazi, sema kuificha Tanganyika ndani ya Tanzania, pili,Ujamaa na KUJITEGEMEA kasome vizuri Azimio la Arusha hasa sura ya PILI Na TATU ukielewa njoo useme wapi alikosea. Tatu,mazingira yale baada ya kupata Uhuru unajua tulikuwaje Tanganyika? Na kwa nini alifanya hivyo. Mwisho naomba kichwa cha habari ubadilishe maana hata yeye alikiri kufanya makosa na akasema chukueni mazuri na mjifunze.
Mazuri kwa kubwabwaja tu, si onesha hayo mazuri.