Excellently said!its very true he was not God, and none claim he was so. His policies had vision and goals of achieving the best standard of lives for all. He believed in unity, YES! all right minded people does, thats why he tried to unit Tanganyika and Zanzibar. He believed in self reliance and sharing of national cake equally and fairly, YES, we all want that, and KILIO kikubwa cha upinzani ni hicho, Nchi isiwe tegemezi (na watu wake pia) na tufaidi sote rasilimali za nchi. Single or mult party in his time was not so important, we call it place based politics. YES, when he realiased the need, he accepted it even when the people (through tume ya maoni walikataa).
His policies were right at the time with the people of the time, but there were no people who understood him to translate the policies into practice. He was surrounded with wrong people, and YES he was not GOD to change them, but he tried to control them and that is what he did as human. He is dead now, he has done is part, lets do ours sasa.
Content matters most! Ignore formDuh,kiingereza hiki kibovu na si ajabu Mtanzania mwenzetu huyu ni msomi wa kiwango cha Masters...Mungu aepushe
athari ya utumishi wake inaonekana dhahiri hapa nchini.Mtumishi wa Mungu Nyerere Pumzika kwa amani, the blessed
Baba wa taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere ni shujaa wa kukumbukwa daima, amefanya mambo mengi mazuri kwenye taifa lake la Tanzania.
Alikuwa mzalendo wa kweli, mpenda haki, alichukia rusha wazi wazi tena si kwa kuimba tu la asha alifanya kwa matendo lakini baba wa taifa hakuwa Mungu, hakuwa malaika na hajawa mtakatifu bado kwa hiyo alikosea kama mwanadamu.
Na alikiri wazi wazi bila kificho, japo alifanya mengi mazuri kimsingi na yanahitaji kupongezwa lakini alikosea vile vile na kosa kubwa alilofanya kubwa kabisa ni kuuwa mipaka ya Tanganyika, kosa la pili ujamaa na kujitegemea na kosa la tatu ni mfumo wa chama kimoja.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Pamoja na kukiri kwako utumishi uliotukuka wa Mwalimu, nani alikuwambis ni mtskatifu, achia mbali kuwita mungu?Baba wa taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere ni shujaa wa kukumbukwa daima, amefanya mambo mengi mazuri kwenye taifa lake la Tanzania.
Alikuwa mzalendo wa kweli, mpenda haki, alichukia rusha wazi wazi tena si kwa kuimba tu la asha alifanya kwa matendo lakini baba wa taifa hakuwa Mungu, hakuwa malaika na hajawa mtakatifu bado kwa hiyo alikosea kama mwanadamu.
Na alikiri wazi wazi bila kificho, japo alifanya mengi mazuri kimsingi na yanahitaji kupongezwa lakini alikosea vile vile na kosa kubwa alilofanya kubwa kabisa ni kuuwa mipaka ya Tanganyika, kosa la pili ujamaa na kujitegemea na kosa la tatu ni mfumo wa chama kimoja.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
....Kaongee huu utumbo wako kwa ndondocha wenzako wa Magamba. Kwani kuna hata kiongozi mmoja wa magamba ambae katika utawala wake alifanya tuonekane ''Richest in the World?''You must be kidding.
We were the poorest in the world within 10 Years of his rule.
......Acha maneno kaka!. Wametukanwa manabii na mitume ndo atakuwa huyo Marehemu?. Tundu Lissu amemtukana tusi gani huyo marehemu.Yes, Nyerere hakuwa Mungu lakini hastahili kutukanwa na akina Tundu Lissu na wengineo! Shame on Tundu Lissu, et al! Nilikuwa namheshimu sana Tundu Lissu lakini nimemdharau tangu alipoonyesha kejeli, dharau na matusi kwa baba wa taifa! Kibaya zaidi ni pale walipokimbilia kinafiki kwenye kaburi lake huko Butiama kwenda "kusafisha" dhamiri zao mbaya!
Mwacheni Mwalimu apumzike kwa amani. Watakuja lakini hawatamfikia hata kwa fitna wanazomfanyia. Filosofa hafutwi kwa fitna.
Yes, Nyerere hakuwa Mungu lakini hastahili kutukanwa na akina Tundu Lissu na wengineo! Shame on Tundu Lissu, et al! Nilikuwa namheshimu sana Tundu Lissu lakini nimemdharau tangu alipoonyesha kejeli, dharau na matusi kwa baba wa taifa! Kibaya zaidi ni pale walipokimbilia kinafiki kwenye kaburi lake huko Butiama kwenda "kusafisha" dhamiri zao mbaya!
Hauleweki hata hoja zako. Tanganyika mipaka yake inajulikana wazi, sema kuificha Tanganyika ndani ya Tanzania, pili,Ujamaa na KUJITEGEMEA kasome vizuri Azimio la Arusha hasa sura ya PILI Na TATU ukielewa njoo useme wapi alikosea. Tatu,mazingira yale baada ya kupata Uhuru unajua tulikuwaje Tanganyika? Na kwa nini alifanya hivyo. Mwisho naomba kichwa cha habari ubadilishe maana hata yeye alikiri kufanya makosa na akasema chukueni mazuri na mjifunze.Baba wa taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere ni shujaa wa kukumbukwa daima, amefanya mambo mengi mazuri kwenye taifa lake la Tanzania.
Alikuwa mzalendo wa kweli, mpenda haki, alichukia rusha wazi wazi tena si kwa kuimba tu la asha alifanya kwa matendo lakini baba wa taifa hakuwa Mungu, hakuwa malaika na hajawa mtakatifu bado kwa hiyo alikosea kama mwanadamu.
Na alikiri wazi wazi bila kificho, japo alifanya mengi mazuri kimsingi na yanahitaji kupongezwa lakini alikosea vile vile na kosa kubwa alilofanya kubwa kabisa ni kuuwa mipaka ya Tanganyika, kosa la pili ujamaa na kujitegemea na kosa la tatu ni mfumo wa chama kimoja.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Baba wa taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere ni shujaa wa kukumbukwa daima, amefanya mambo mengi mazuri kwenye taifa lake la Tanzania.
Alikuwa mzalendo wa kweli, mpenda haki, alichukia rusha wazi wazi tena si kwa kuimba tu la asha alifanya kwa matendo lakini baba wa taifa hakuwa Mungu, hakuwa malaika na hajawa mtakatifu bado kwa hiyo alikosea kama mwanadamu.
Na alikiri wazi wazi bila kificho, japo alifanya mengi mazuri kimsingi na yanahitaji kupongezwa lakini alikosea vile vile na kosa kubwa alilofanya kubwa kabisa ni kuuwa mipaka ya Tanganyika, kosa la pili ujamaa na kujitegemea na kosa la tatu ni mfumo wa chama kimoja.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Lakini kuna kipindi alijifanya Mungu mtu... alisema atamuona rais wa nne wa Tanzania akafa kabla ya kumuona. Aliwafanya Watanzania wote wajinga ili awatawale.
....Kaongee huu utumbo wako kwa ndondocha wenzako wa Magamba. Kwani kuna hata kiongozi mmoja wa magamba ambae katika utawala wake alifanya tuonekane ''Richest in the World?''
CCM wote vichwa vyenu vibovu, kuanzia nyie misukule wao hadi hao waliowaroga.
Not richest in the world, we are not their yet but Tanzania is richer today than ever before.
Hauleweki hata hoja zako. Tanganyika mipaka yake inajulikana wazi, sema kuificha Tanganyika ndani ya Tanzania, pili,Ujamaa na KUJITEGEMEA kasome vizuri Azimio la Arusha hasa sura ya PILI Na TATU ukielewa njoo useme wapi alikosea. Tatu,mazingira yale baada ya kupata Uhuru unajua tulikuwaje Tanganyika? Na kwa nini alifanya hivyo. Mwisho naomba kichwa cha habari ubadilishe maana hata yeye alikiri kufanya makosa na akasema chukueni mazuri na mjifunze.
Kumbuka shilingi inaporomoka kila kukicha, hii ni ishara kuwa uchumi wetu ni mbovu.