lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,374
Baba wa taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere ni shujaa wa kukumbukwa daima, amefanya mambo mengi mazuri kwenye taifa lake la Tanzania.
Alikuwa mzalendo wa kweli, mpenda haki, alichukia rusha wazi wazi tena si kwa kuimba tu la asha alifanya kwa matendo lakini baba wa taifa hakuwa Mungu, hakuwa malaika na hajawa mtakatifu bado kwa hiyo alikosea kama mwanadamu.
Na alikiri wazi wazi bila kificho, japo alifanya mengi mazuri kimsingi na yanahitaji kupongezwa lakini alikosea vile vile na kosa kubwa alilofanya kubwa kabisa ni kuuwa mipaka ya Tanganyika, kosa la pili ujamaa na kujitegemea na kosa la tatu ni mfumo wa chama kimoja.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.