Narudi nikiwa unstoppable

Kawaida tu , ukiwa na mzunguko mdogo wa pesa lazima uwaze kujiona matako kisa uzi wa jamii forum
Nani alisema bwashee?

Hujui mtu akiwa na pesa, hawezi hata kuandika kitu cha kuwaponda wenzake?

Ila maskini akipata matako hulia mbaya?
 
Ulivyoandika hapo utazidi kumpa stress aone kama ni jambo kubwa sana kumbe anaweza akatoboa tuu
 
I knew utakua wise enough kujua my tabia of kujitapa is mine na haina shida yoyote kwa member humu.

Haya mkuu, mimi kwa bahati mbaya sifanyi ligi na mtu yoyote tena.

I'm just being me. Kama kuna mtu anatumia it's their problem
Hufanyi ligi na mtu yoyote tena, that's a step closer, keep on keeping on!!
 
Nani alisema bwashee?

Hujui mtu akiwa na pesa, hawezi hata kuandika kitu cha kuwaponda wenzake?

Ila maskini akipata matako hulia mbaya?
Yeah ila maskini wa pesa na akili huwa wana katabia ka kukuona kila kitu kikiandikwa kimewaponda wao
 
Bwana mdogo wewe kumbe JF huijui vizuri๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

STAY TUNED WALIKUJA WENZAKO KINA KIDUKU LILO SAIVI WAMEPONA UKICHAA.WEWE UNASEMA NINI BWANA.

UNAMJUA MPWAYUNGU WEWE๐Ÿค—.SAIVI AMEPONA SONONA ANALIMA UFUTA HUKO TAMISEMI.KIJANA JF HAIHITAJI MBWEMBWE UTAKULA K.O KAMA ZA POPOMA NA UTAKUWA NA UNDUGU NA BAN KILA MARA!!!

๐Ÿ“ŒVAYULENCE๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅPEACE IS NEVER AN OPTION!!!
 
Yeah ila maskini wa pesa na akili huwa wana katabia ka kukuona kila kitu kikiandikwa kimewaponda wao
Hapana bwashee
Rich people enrich others..

Unacho fanyaga humu mkuu ni kujivunia heshima tuu.
 
Hapana bwashee
Rich people enrich others..

Unacho fanyaga humu mkuu ni kujivunia heshima tuu.
Mimi sio tajiri wala sijivuni kwa lolote bwashee, ni wewe mtazamo wako tu
 
Mtasema sana... Maana this time around ni action tu.. Aibu na chuki mtaona nyie
Sema nini, em elezea vizuri hapo kwa binti wa zamani basi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kama nawaona waliokupa mbususu saa hizi roho juu juu una mafile yao..!!

Kwenye ubuyu umenikosha umwage basi hizo ndo vitu zangu..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mpwayungu analima ufuta Tamisemi??
 
I don't give a damn
Hizo tambo wapelekee washamba huko kijijini kwenu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ