..mchangiaji mwenzetu hapa JF anatumia id ya
JS Farms ndiye mwenye taarifa kuhusu majani ya Juncao ameacha namba simu-:0756625286
..mimi nilikuwa nakuita nikidhani labda una taarifa za ziada kuhusu majani ya Juncao. Nineona hata wizara ya mifugo / katibu mkuu wamesema majani hayo yanaweza kuwa mkombozi.
..kwa upande mwingine nimeona Youtube za Wakenya na Waghana wanasifia majani ya malisho yanaitwa Brachiaria. Sijui kama kuna Watanzania wameyapanda majani hayo.