Kumbe na wewe ni Ngosha team eeeh.# wajanja wote ni kufanya shughuli binafisi ukisubilia kila kitu ifanye Serikali utaramba chuma cha Reli......!!#
Hongera kwa kulitambua hilo mpendwa
Umepita what? Si ungetumia kondom buananimepita mkavu
# wajanja wote ni kufanya shughuli binafisi ukisubilia kila kitu ifanye Serikali utaramba chuma cha Reli......!!#
Hongera kwa kulitambua hilo mpendwa
Kumbe na wewe ni Ngosha team eeeh.
Go @Magufuli go, ulipo tupo.
Kumbe na wewe ni Ngosha team eeeh.
Go @Magufuli go, ulipo tupo.
Kweli mkuu kakomae na buku 7Kuna kamsemo ka kizungu huwa wanasema "if you can't fight them join them....!! Hapa ujanja ni kuwa mahala pa uhakika kukomaa na Upinzani ni kupoteza mda na future wajanja wote ni kufanya shughuli binafisi ukisubilia kila kitu ifanye Serikali utaramba chuma cha Reli......!! Zinduka kijana acha Unyumbu na Ujuha siku hazigandi.......
Nina mpango wa kurudi CCM ili kwenda kuwahi urithi maana sasa CCM inakata roho, kwa mtu anaejua "stages of death" atakubali sasa kuwa CCM wapo kwenye "denial stage" yaani kujikataa/kujikana!!! kwa hio msishangae wanavyomkataa SIX, baada ya hapo mwisho itakua "Acceptance stage" yaani watakubali kwamba sasa muda wao umekwisha na ndipo wataingiza nchi ktk machafuko, turudini tukawahi MAJENGO na mashangingi kisha tuyauze na kununua ambulance badala ya BAJAJ!! nawakilisha
Duh thread yangu hii ya Nov.2010 kweli maandishi yanaishi aiseeee
Mkuu mimi unigawie mashati ya kijani tu niweninatinga nayo mitaani.Nina mpango wa kurudi CCM ili kwenda kuwahi urithi maana sasa CCM inakata roho, kwa mtu anaejua "stages of death" atakubali sasa kuwa CCM wapo kwenye "denial stage" yaani kujikataa/kujikana!!! kwa hio msishangae wanavyomkataa SIX, baada ya hapo mwisho itakua "Acceptance stage" yaani watakubali kwamba sasa muda wao umekwisha na ndipo wataingiza nchi ktk machafuko, turudini tukawahi MAJENGO na mashangingi kisha tuyauze na kununua ambulance badala ya BAJAJ!! nawakilisha