Napumzika mapenzi mwaka mmoja

Napumzika mapenzi mwaka mmoja

Sijawahi date mwanafunzi in my life

Mkuu kama ww hujawahi kudate mwanafunzi it means wakati unasoma ulikua unadate mimaza? Maana wakati ww unasoma means na watoto wa umri wako nao wanasoma.. au mapenz umeanza ukiwa na miaka 26.. kama hivyo basi ndio maana unalizwa
 
Naona nyege zako zimeenda likizo ngoja zirudi ndio utatambua kuwa umeropoka kwenye hiki kiapo chako cha kitoto.
 
Upunguze kuoga pia, ili uepuke na vishawishi vya bafuni kwa mrembo sabuni.
 
Tehe tehe tehe mbuzi kafia kwa muuza supu
 
Unaweza kabisa na zaidi ya hapo, tena nakupa moyo endelea mara utashangaa mwaka umefika.
Hongera ni uamuzi mzuri, ukiamua unaweza. Kila la kheri...
 
Pumzika na kula tuone kama utaweza....

Just try it for one to two months!

Try it! you can...:cool2:
 
Lazima uta umwa ugonjwa wa kudindisha sana shauri yako!
 
Mkuu kama ww hujawahi kudate mwanafunzi it means wakati unasoma ulikua unadate mimaza? Maana wakati ww unasoma means na watoto wa umri wako nao wanasoma.. au mapenz umeanza ukiwa na miaka 26.. kama hivyo basi ndio maana unalizwa

Mimi sitalilia mapenzi kamwe, siyapi nafasi mapenzi kuniliza. Natafuta hela. Nimedate waliokua wanachuo wenzangu pia, sijadate watoto wa shule wakati mi raia. Mi naogopa jela wewe......kishule shule ile sana tu
 
Back
Top Bottom